Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee Lenovo think pad hana mpinzani hapo. Ingia HP nyingi zimejaa copy mtaani na pia hata original zake sioydurable.kwenye hiyo competition, mtoe kabisa Lenovo, hafai hata kukaa hapo....hp na dell wako vizuri zaidi...
Nafkiri mchina ameharibu mashine za hp na dell, hizi mashine hapa bongo ni risk sana kununua hata spare zake tu ni kipengele ktk kudumu.Aiseee Lenovo think pad hana mpinzani hapo. Ingia HP nyingi zimejaa copy mtaani na pia hata original zake sioydurable.
Lenovo mashine inamudu kazi ngumu. Hujambo Binafsi sijutii kuinunua. Mashine ina run models hata wiki mbili bila kuzima
Lenovo ni UCHAFU tu...sema watu wengi hawana uelewa wa mambo ya computer, hawa wanaozinadi LENOVO wengi wao ni wauzaji wa computer, ni rahisi kuuzika huku kwetu kwa sababu ya bei ndogo,....lakini ule ni uchafu....Hapa umemaliza Kila kitu...
Kuna mkuu nilikua namwagizia PC Arusha wakawa wananishauri kuhusu Lenovo nikawaambia mm mwenywe nimenunua hapo hii ninayotumia ila nimegindua ni za hovyo ikabidi anipigie promo sana lkn mwisho nikamwambia Lenovo sizihitaji kwa namna yyte Ile.
Saiv nawaza nipate angalau HP spectre x360 au HP envy
100%,,,,.Lenovo ni UCHAFU tu...sema watu wengi hawana uelewa wa mambo ya computer, hawa wanaozinadi LENOVO wengi wao ni wauzaji wa computer, ni rahisi kuuzika huku kwetu kwa sababu ya bei ndogo,....lakini ule ni uchafu....
Yaanini kuwaza kubeti na kuliwa badala ya kula100%,,,,.
Nawaelew wabongo kwa uchawa, Yan weng Wana DNA za udalali, unaweza Kuta wanazisifia Lenovo sabab ndio walizojaza kweny maduka yao na ule unafuu wa Bei zake hivyo Wanatumia chance hio kuzipa ukubwa ila hamna kitu....
Kwa Sasa siwezi toa Hela kununua Lenovo, Bora hio Hela nibeti iliwe
Wasichojua watu, laptop brands zina madaraja. Low end,mid range, na enterprise / premium edition. Hp spectre series ni premium edition, it is so different from other laptops. From performance, looks, features. Wengi huwa mnanunua mid range to low end laptopsZote ni bora. HP nzuri zaidi kimuonekano.
Yoga ngapi mkuuLenovo Yoga
lenovo yoga 510-14iskYoga ngapi mkuu
Dell ipi hasa,,hapa naongelea kununua used na siyo mpya eg Dell latitude au zingine?Dell ndo mashine