Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

Haya mambo hayana muongozo, wewe kabla hujaenda kuchukua machine jua unataka mashine gani kwanza then anza kufuatilia specifications kupitia YouTube etc.

Hakikisha mpaka unaingia dukani unajua unachotaka, ukiletewa machine unajua kuikagua mwanzo mwisho. Sio unabadilishiwa Disk drive unashangaa windows inavyokuwa installed.

Mimi binafsi nina Lenovo Yoga, nilinunua refurbished imported from UK (Nilicheck genuine lisence kupitia Lenovo website, nikatia model number, Location ilisoma ilikuwa exported to UK(ina UK keyboard layout).

Mwaka wa pili sasa machine inapiga kazi. Napiga full stack development, blender (ina dedicated GPU), automation (SIEMENS TIA PORTAL), electrical schematic designs and simulation etc. Most of the time machine inakesha ipo kwenye power. Inaweza kaa kwenye power siku hata 3 inanguruma sina habari nayo.

Nimesema hayo sababu kuna watu wamesema Lenovo hamna kitu.

Swali sio HP, Dell au Lenovo, swali ni unataka machine kwa ajili ya nini. Jua unachokitafuta
 
kwenye hiyo competition, mtoe kabisa Lenovo, hafai hata kukaa hapo....hp na dell wako vizuri zaidi...
Aiseee Lenovo think pad hana mpinzani hapo. Ingia HP nyingi zimejaa copy mtaani na pia hata original zake sioydurable.
Lenovo mashine inamudu kazi ngumu. Hujambo Binafsi sijutii kuinunua. Mashine ina run models hata wiki mbili bila kuzima
 
Aiseee Lenovo think pad hana mpinzani hapo. Ingia HP nyingi zimejaa copy mtaani na pia hata original zake sioydurable.
Lenovo mashine inamudu kazi ngumu. Hujambo Binafsi sijutii kuinunua. Mashine ina run models hata wiki mbili bila kuzima
Nafkiri mchina ameharibu mashine za hp na dell, hizi mashine hapa bongo ni risk sana kununua hata spare zake tu ni kipengele ktk kudumu.

Kuna dell moja iliwahi nunuliwa mpya kabisa Posta toka miaka ya 2014, mwaka jana ndo ilizingua, tena ishu ilikuwa ni RAM tu basi, baada ya hapo ipo fresh kuanzia betri, keyboard n.k, kuna mwingine alinunua dell core i7 kitambo sana ila mpaka leo bado inahema vizuri lakini aliagiza nje.

Hizi hp na dell refurb za kuchukua kkoo kwa kweli nina mashaka nazo kwa sehemu fulani.
 
Narudia hp za sasa ni mafamba ya mchina hakuna og hp inapatikana kirahisi.

Ukitaka kujua kaangalie kama ina model number na hiyo number IPO kwa manufacturer wa hp nyingi label Tu, vioo ni very tepetepe ukiiàcha inakesha kwenye power kesho unakuta imekufa au inaanza kuzingua.


Kiukweli mchina kaharibu soko la electronics Sana sasa. Sio Tu pc hata radio, woofer etc
 
Hapa umemaliza Kila kitu...
Kuna mkuu nilikua namwagizia PC Arusha wakawa wananishauri kuhusu Lenovo nikawaambia mm mwenywe nimenunua hapo hii ninayotumia ila nimegindua ni za hovyo ikabidi anipigie promo sana lkn mwisho nikamwambia Lenovo sizihitaji kwa namna yyte Ile.

Saiv nawaza nipate angalau HP spectre x360 au HP envy
Lenovo ni UCHAFU tu...sema watu wengi hawana uelewa wa mambo ya computer, hawa wanaozinadi LENOVO wengi wao ni wauzaji wa computer, ni rahisi kuuzika huku kwetu kwa sababu ya bei ndogo,....lakini ule ni uchafu....
 
Lenovo ni UCHAFU tu...sema watu wengi hawana uelewa wa mambo ya computer, hawa wanaozinadi LENOVO wengi wao ni wauzaji wa computer, ni rahisi kuuzika huku kwetu kwa sababu ya bei ndogo,....lakini ule ni uchafu....
100%,,,,.
Nawaelew wabongo kwa uchawa, Yan weng Wana DNA za udalali, unaweza Kuta wanazisifia Lenovo sabab ndio walizojaza kweny maduka yao na ule unafuu wa Bei zake hivyo Wanatumia chance hio kuzipa ukubwa ila hamna kitu....

Kwa Sasa siwezi toa Hela kununua Lenovo, Bora hio Hela nibeti iliwe
 
100%,,,,.
Nawaelew wabongo kwa uchawa, Yan weng Wana DNA za udalali, unaweza Kuta wanazisifia Lenovo sabab ndio walizojaza kweny maduka yao na ule unafuu wa Bei zake hivyo Wanatumia chance hio kuzipa ukubwa ila hamna kitu....

Kwa Sasa siwezi toa Hela kununua Lenovo, Bora hio Hela nibeti iliwe
Yaanini kuwaza kubeti na kuliwa badala ya kula
 
Zote ni bora. HP nzuri zaidi kimuonekano.
Wasichojua watu, laptop brands zina madaraja. Low end,mid range, na enterprise / premium edition. Hp spectre series ni premium edition, it is so different from other laptops. From performance, looks, features. Wengi huwa mnanunua mid range to low end laptops
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Nimekua naona Dell Desktops mtaani sijui kwa sababau labda ni cheap au vp,
Nilinunua Dell E550 kwa bei ndogo tu, ilikuwa mwezi 6 mwaka huu lakini mpaka leo hainisumbui, ina roho ngumu, wenzangu PC zinacorrupt ila mm nadunda tu, kuna bro alikuwa na lenovo kauza amenunua Dell,

Dell unaweza kufungua kila kitu na ukafunga vizuri, Dell unaweza kurepair hardwares za ndani ikapiga kazi bila shida, Hapa nina zaidi ya week 2 sijaizima nafanya kutumia na kuweka chaji, nasleep inapiga kazi.

Kwa show off HP na lenovo zina shape,

Lakini kwa ugumu wa laptop Dell ni ngumu sio siri wakuu.

Pia kuna jamaa yangu ana HP ya 2005 mpaka leo inapiga kazi kioo full HD af kigumu, ila button moja tu imenyofoka, charge adapter yake ya 2005 mpaka leo ipo, ila coz ni mashine ya Zamani sometime inazingua kwa baadhi ya softwares.

For me
1. Dell
2. HP
3. Lenovo

Na zote ni nzuri na zinapiga kazi

Ila zingatia Dell ina roho ngumu kama ukipata yenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom