Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
tumia onscreen keyboard kubypass hio lockscreen.Katika kutumia Lenovo ideapad 130 usiku ilitoa pop up ya update. Nika kubali ila ilichukua muda kidogo kumaliza hiyo download isivyo kawaida kwa updates nyengine.
Sasa baada ya ku update nikitaka kuweka password nifungue, mara keyboard hazifanyi kazi - kwa maana na type hewa!
Nimejaribu option ya ku reboot/safe mode nimefeli - no response.
Next step kwenye troubleshoot wanasema nitoe betri na kuirudisha. Betri imefungiwa ndani sina device ya kufungua vi-screw.
Je, hili tatizo limetokana na nini?
Muarobaini ni kwenda kwa fundi atoe betri na kuirudisha au kuna solution nyingine?
Msaada.
Chief-Mkwawa
hutokea hio keyboard kukataa, ukishabypass tu hio lockscreen inakubali.