polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Ushahidi gani unao ongelea chief au unao taka?Mimi pia ninayo na inakaa na chaja what's your point? Na kwanini hutaki ushahidi?
Wabongo mnapenda kuongea vitu bila facts mtu akitaka kuleta facts inakua tabu pia?
Na mimi sijahudhuria course yoyote ya umeme wala madaftari unayo sema sina ni natumia pia uzoefu,
Hio ni logic ya kawaida tu ukitumia chaja yenye amps kubwa simu inachuja ina chukua amps inazotaka.