Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
umejikausha hujaliona hilo jibu ama hujaliona kweli? screenshot hiiNo mbili ni mtu kauuliza swali au hujaelewa ?? Na halijajibiwa ila naona umeandika haidhuru sasa naona we ndo bwana dell mwenyewe umeshajibu...soma post yangu kwanzia nimekuquote legeza kichwa utaelewa? Dunia ya sasa hakuna kifaa cha battery ambacho kikiachwa charge muda wote kitakuwa overcharge hilo hakuna zingesha over heat na kupasuka hata simu zote zinakata umeme once zimefika 100% battery enyewe ina bms yake haikubali battery husika kuwa overcharged hata siku moja,, . Ila pamoja na hayo point ni hii...any lithium battery muda wote kuwa 100% inakula hio battery kidogo kidogo hutoona kwa muda huo
huyo jamaa umeona status yake? Admin wa dell hivyo ni mtu wao kwa ajili ya kujibu maswali kwenye official website ya dell. sasa mkuu wanaotengeneza laptop wenyewe wanasema ni safe, wewe nani huku unaetaka kutuaminisha vyengine na hata source ya uongo na kweli huna?
tofautisha battery kuachwa yenyewe kifaa kikiwa kimezimwa na hakitumiki na batttery kuachwa yenyewe hali ya kuwa kifaa kinatumika. ni vitu viwili tofauti na wala huwezi tumia huo mfano kwenye hii case.Ingekuwa being 100% haina madhara basi tungekuwa tunanunua simu zikiwa full charge au laptop jiulize kwann zinaachwa zikiwa na nominal volt na sio full volt?
Kuiacha charge imejaa sometime inafanya cycle ndogo ndogo sijui kama unaelewa maana ya life cycle ya battery wat does it mean?