LAPTOP inaharibika muda gani usipoizima bali inapiga mzigo

Ushahidi gani unao ongelea chief au unao taka?
 
We jamaa ni mbishi yaan halafu unabisha kitu ambacho hujafanya utafiti yaaan unatumia notes kubisha.
 
We jamaa ni mbishi yaan halafu unabisha kitu ambacho hujafanya utafiti yaaan unatumia notes kubisha.
Nina kitochi cha samsung, Nokia E52, Nokia C5, Nokia 8110 4g, Nokia 105 kitochi etc mimi ni hobby yangu kukusanya karibia simu zote za batan na os zake.

Zote hizo nishachaji na chaja za feature phone, Nina dash ya oneplus, Nina fast charger ya samsung, baseus fast charger, oraimo etc

Ukitumia fast charger ama 2A charger kwenye simu ndogo hazipeleki huo umeme wote, simu ndio inayo chagua ichukue amps ngapi toka kwenye charger. Simu itaharibika pale tu volt zikiwa tofauti.

Simu inapochagua amps na kucharge battery linajaa tu kawaida, hakuna cha battery kuisha haraka wala kuisha taratibu hayo ni matumizi tu.

Hio Samsung yako kitochi ukichaji na faster charging inakaa siku ngapi na ukichaji na chaja ya kawaida inakaa siku ngapi?
 
Fungua ndani utakuta battery sita za 3.6v kwa 2200mah each...acha ubishi
 
Uelewa wako ni mdogo sana huko ,, nikwambie tu hamna lithium yoyote kwenye umbile la hizo battery humo ndani inayofika 4200mah per battery duniani ...



Hio battery yako imeandikwa 48w .... humo ndani zipo kwenye mpangilio wa 2P3S ....kama 2P ikiwa 4200mah basi hio battery yako haiwezi fika 48w itakuwa na 45w kwa hio chagua kimoja kipi kimekosewa andikwa hapo...ili iwe 48w kama ilivoandikwa basi hapo inatakiwa andikwa 4400mah na sio 4200mah..hili pia utabisha ...fungua hio battery haiwezi haribika utakuta nilichokwambia
 
Battery ya 3900, 3990, 3992, 3992 etc zote zinaitwa 4000mah, hizo ni hesabu za kukadiria sijui darasa la ngapi tunafundishwa, ni kitu cha kawaida tu manufacture wote Wana andika.

Ngoja nifike home nikufungulie Hilo battery uone.
 
Mkuu natumia toshiba... Nikiweka battery nikiwasha inadisplay mwanga mweusi tuu... Ila nikiitoa betri inawaka kawaida... Sijaelewa Nini shida mkuu
 
Hizo hapo
cell zake ni CGR18650 wengine wanazirate 1400mah wengine 1800mah kama unaweza kuzisoma specs zake.
hiki kiwanda cha china wanaoship
 

..hio sio picha halisi ya battery zilizoko ndani humo na kuandikwa 18650 sio kwamba ndo mah yake

Tuma picha ya battery ulizokuta ndani
 
Nimeshakutumia link juu na hazijaandikwa Mah, wapi nimekataa sio 6? Nimekataa hivyo vipimo vyako vya kukariri.
Vipimo vipi vya kukariri inamaana we huwezi jua kilichoko ndani kwa kusoma tu kwamba imeandikwa watts 48 volt ni 10.8 unatumia knowledge yako ulionayo kwamba hamna lithium ya size hio yenye 4400mah hivo lazima ziwe mbili ku achieve 4400mah au 4200mah
 
Vipimo vipi vya kukariri inamaana we huwezi jua kilichoko ndani kwa kusoma tu kwamba imeandikwa watts 48 volt ni 10.8 unatumia knowledge yako ulionayo kwamba hamna lithium ya size hio yenye 4400mah hivo lazima ziwe mbili ku achieve 4400mah au 4200mah
sijakataa hilo la battery mbili ama zaidi kutumika ni kitu common na kipo maeneo mengi, usinilishe maneno. ila wewe kuanzia juu huko kwenye mada husika unabishana na specs za manufacture mpaka ADMIN wa Dell umemkataa bila kuwa na ushahidi wowote wenye mashiko. yaishe tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…