happyness win wajaluo wamekosa nini jamani
Kwani na wewe ni Mujaluo??????????? :glasses-nerdy::glasses-nerdy: muluo??? :glasses-nerdy: mutu muzimaaaaaa?
Mi sipo kote uko......ila sasa...apo kwa mutu muzimaaa unamaanisha sijakua au?
happiness win do me a favor, nieleweshe hata kwa PM:shut-mouth:jamani Kaizer, ungekuwa hujakuwa usingekuwa humu muda huu!
Babe miss strong mwambie huyo emperor kuwa vya mkurya haviliwi. Vinginevyo ajiandae kuchezea mapanga.
aaahh tata Mwita Maranya!!!! hebu nisaidie kukaleta nyumba haka katoto kanaitwa miss strong. mi ntalipa kila kitu!
Ngoja nikague huu uzi nionr ugomvi.umeanzia wapi...