Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

Lara 1,Mamndenyi,Preta,Heaven on earth kama nikimpata mmoja wa hawa roho yangu.........

Wote uliowataja umri ni sawa na Mamako sasa maadili ya wapi hayo au wewe ni kabila gani au wewe ni wasumbawanga mnaotembea na mamazenu!
hii sabatical leave uliyonipa inaisha lini kwa kweli nimechoka mpaka The Boss akajitolea niwe kidumu chake ,au ni miaka mingapi nielewe kabisa au umeniacha kabisa nielewe ,hujanimis tu !! kumbe nilikuw natwanga maji kwenye kinu ?
hngera unaendeza na kibadge chako !
 
Shemeji nashukuru kwa taarifa, kumbe nyumbani huwa anafika mwingine mwenye Prado, mimi yangu ni ya kilala hoi tu (Harrier) Prado nitaiweza wapi.

Heaven on Earth njoo ujibu huku.

Duhh si unajua mi sijui kutofautisha aina za magari?Basi mi nilijua magari yote yanaitwa prado,hata rangi ndo tumefundishwa tu juzi tena mwl alisema nyeupe ndiyo nyekundu!Utakuwa ndo wewe hofu ondoa, mdogo wangu Heaven on earth hajawaji kuja na mtu mwingine zaidi
 
Last edited by a moderator:

Halafu shemeji mbona mimi nimeshamaliza kulipa mahari? Bado umeniacha njia panda.
 
Duhh si unajua mi sijui kutofautisha aina za magari?Basi mi nilijua magari yote yanaitwa prado,hata rangi ndo tumefundishwa tu juzi tena mwl alisema nyeupe ndiyo nyekundu!Utakuwa ndo wewe hofu ondoa, mdogo wangu Heaven on earth hajawaji kuja na mtu mwingine zaidi

My kaka usiongee sana.....usije ukamkosa shamaji bure

naomba u :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Tatizo unatumia pain killer sana...........njoo huku nikupe full dozi............tatizo lako nimeshalijua......na mafuta nimeshanunu tayari....ni wewe tu uje nikutibu mgonjwa wangu.

ngoja Invisible Moderator wanirekebishie hili tatizo langu kwanza

I can not acces marafiki zangu wanavyoniquote sujui shida ni nini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom