sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Malkia wangu toka nikuoe sijawahi kukuona umekasirika kama leo. Nimefutilia kwa makini ni kweli amekuudhi sana, na kama ana busara anapaswa kuomba radhi.
Ngoja nikufuate twende kule tukale Bugger.
Achana nae babe.
BABE nimeshaachana nae saa nyingi
Duhh my dada Heaven on earth mbona huyu simkumbuki?Au ndio yule huwa anakuja na ile prado nyeupe?Alafu kama ndo yeye basi nakumbuka tunamdai mahari basi kama vipi atupie kwenye Mpesa!
Last edited by a moderator: