Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
hallow beib, is this your true colour..???
Yes it is!!!!!!!are you doubting me!!!!!!!!!!!!!
hallow beib, is this your true colour..???
Binadamu nyie mwatafuta yani? Moyo wangu ndio unaojipendekeza kwa Mamndenyi; CHAMVIGA nakuonea huruma ndugu yangu maji hayo huyawezi wewe endelea na vidagaa vya kuvua maji goti; maji anayooga nyangumi papa hayawezi; kishindo cha Mamndenyi utakiweza???? usije ukajitia aibu na visingizio mara ooh nina mshipa wa riyah mara OOh nina ngiri wa ndani kaka utakufa na vicheko mtaani!!! mtafute Bujibuji mkavizie vidagaa vilivyopotea njia coco beach
Shemeji nashukuru kwa taarifa, kumbe nyumbani huwa anafika mwingine mwenye Prado, mimi yangu ni ya kilala hoi tu (Harrier) Prado nitaiweza wapi.Duhh my dada Heaven on earth mbona huyu simkumbuki?Au ndio yule huwa anakuja na ile prado nyeupe?Alafu kama ndo yeye basi nakumbuka tunamdai mahari basi kama vipi atupie kwenye Mpesa!
Babu jinga, kaa chini ufikiri, mali zako zinaliwaBinadamu nyie mwatafuta yani? Moyo wangu ndio unaojipendekeza kwa Mamndenyi; CHAMVIGA nakuonea huruma ndugu yangu maji hayo huyawezi wewe endelea na vidagaa vya kuvua maji goti; maji anayooga nyangumi papa hayawezi; kishindo cha Mamndenyi utakiweza???? usije ukajitia aibu na visingizio mara ooh nina mshipa wa riyah mara OOh nina ngiri wa ndani kaka utakufa na vicheko mtaani!!! mtafute Bujibuji mkavizie vidagaa vilivyopotea njia coco beach
CHAMVIGA
umevurugwa wewe sio BURE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
i wont even waste my TIME arguing with a person like YOU!!!!!!!!!!!
anakupeperushia ndege hivi hivi huyu mwanga!umevurugwa wewe sio BURE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
i wont even waste my TIME arguing with a person like YOU!!!!!!!!!!!
BujibujiBabu jinga, kaa chini ufikiri, mali zako zinaliwa
CHAMVIGA
umevurugwa wewe sio BURE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
i wont even waste my TIME arguing with a person like YOU!!!!!!!!!!!
chama, leo siko katika moood ya kuongea, kwanza wewe ni chama gani? chama cha madereva wa bodaboda?
Hao wote..hawana bikin. Mwanamke bikin. Au umewapendea wanavokua wanavaa machupi yao makubwa?..
oyayaaa oyaa jua starehe garama....usipende....jua vinagaramaWana mmu mambo vipi nawazimia sana watajwa hapo juu natamani nimpate mmoja wao awe mpenz wangu
hahahahaaaaa.....!!!!. pole sana babe wangu. siku nyingine mtu akikuudhi niambie mimi nmfanyizie. haiwezekani akoseshe amani mpenzi wangu. mia
CHAMVIGA mbwembwe zote zile kumbe ulikuwa unakodolea macho
Mambo.!