Lara 1 yuko wapi?

Lara 1 yuko wapi?

itakua wewe ndo umepotea mkuu mbona December alitupa kitu chaukwee ( story)

lara Mzungu yule story ikiisha huwa anasemaga kabisa labda tuonane Pasaka ikiisha au laa then huyooooo anatokomea sema mwisho mwisho sikumalizia story

cc Smart911
 
Shortly kuna watu wanakimbia ili kuzikimbia Aibu zao humu ,, Na wakija wanakuja na ID mpya !!.

MTU keshachojolewa vyupi ,alafu jamaa anamtema ,hahah Mara nyingi lazima apotee ili kujichia aibu akirudi anarudi na ID mpya !!.

Sembuse naye anasoma huu Uzi , chezea kugegedana kwa hasara!!.
Kumbe humu ngono ni nje nje+?
 
Hivi hawanavina7 na mange
!?? Iliniunganishee dots
 
Watu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu umemla nini mbona kama umeandika kwa ujuaji wa hali ya juu
 
Biashara aliyokuwa anafanya awamu hii hailipi.Biashara kongwe duniani.
 
Watu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu ukosei kabisa mia mia ulichoongea
 
Bado hakuna mwenye taarifa za Lara 1?
 
Back
Top Bottom