Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe humu ngono ni nje nje+?Shortly kuna watu wanakimbia ili kuzikimbia Aibu zao humu ,, Na wakija wanakuja na ID mpya !!.
MTU keshachojolewa vyupi ,alafu jamaa anamtema ,hahah Mara nyingi lazima apotee ili kujichia aibu akirudi anarudi na ID mpya !!.
Sembuse naye anasoma huu Uzi , chezea kugegedana kwa hasara!!.
Utaziba pengo.do
doh
msijali money penny nipo!
Watu wanabadili ID kujiimarisha zaidiHuyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
Wakikujibu naomba unishtue..kama umeuliza swaliHivi hawanavina7 na mange
Yaan umenichekesha sanamsijali money penny nipo!
SI ALISEMAGA MWENYEWE SASA HIVI AMEMUACHIA MONMEY PENNY MAANA MP ANA MOTO BALAAA!Yaan umenichekesha sana
Nakuja mamaSI ALISEMAGA MWENYEWE SASA HIVI AMEMUACHIA MONMEY PENNY MAANA MP ANA MOTO BALAAA!
NDIO NIKASEMA MJE KWANGU KUNA STORI KIBAO
NJOO USOME KARIAKOO MMU
Mkuu umemla nini mbona kama umeandika kwa ujuaji wa hali ya juuWatu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu umemla nini mbona kama umeandika kwa ujuaji wa hali ya juu
Mkuu ukosei kabisa mia mia ulichoongeaWatu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
lara 1He is already R.I.P