Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Short history yangu ni kwamba napenda pesa, napenda mambo makubwa, sijibaniiii, napenda raha. Adui namba moja wa Free Pumbu. Sina mengi sanaaaa kama unga wa ngano. Ni hayo tu
dah nondo mpya hizi
 
Elimu yako ni ipi mpaka sasa na Je Chuo na GPA kubwa vinaweza kuamua ubora wa maisha ya mtu?

Pia ulipotea sana Jf je uliamua au sababu binafsi ila kama hutojali waweza sema.

Elimu yangu ni Degree, Masters, CPA (T)

Chuo na GPA ni muhimu sanaaaaa. Ukiwa na GPA kubwa hutoteseka sanaaa kupata kazi. Na ili upate mtaji kwa sisi watu wa chini mpaka usugue lami kazini si chini ya miaka mi 5. Kama mwanamke bila GPA utavuliwa chupi sanaaaa, ama sivo uwe na connections na marefa.

Asikudangaje mtu GPA matters a lot katika maisha. Haswaa ya under graduate. Ukiharibu hii baaasi vitu vingine havikusadiii. Hata uwe na PHD lazima wacheki under graduate una GPA ya ngapi. So wadogo zangu pigeni shulee acheni ungesee ungesee, maisha yanafilaaaaa ni balaaaa. Mimi binafis dada yenu mara paaap narudishwa shuleee hivi na umri narudishiwa nitasomaaa kama mngese gani sijui. Nalala maktabaaaa, nawaambiaaa. Laiti mngejua ufilaji wa maisha ulivoooo msingeendeleza ungese mnaofanya hapo chuo badala ya kupiga kitabu. Na asilimia 80 ya wanao feli shule lazima WANAFELI MAISHA.

Hio 20 ya kina Lara 1 unatakiwa uwe jasiriii na mwenye roho ya pakaaa. Uwe jasiri kweli kweli. Kama mwanamke usiogope mi boloyankiii ya kila size na kila idadi yaaani uwe tayari kwa mapambano tena mapambano kweli kweliii. Ooooooohhhhhhh! Kama unaweza kusoma we somaaaa tu, bora ukomae ukile kiboga kitabuuu na GPA hizo zote unazila Tigo kuliko kungoja kusikizia kifilo cha maishaaaa. Heheheeee. Woiiiiiiiiiiiiiiiii!

Mimi niliepitia kifilo cha maisha nawaambia sio mchezooo sio masihara mwenye kusikia asikie. nawaachia hizi kauli mbilimzizingatie sanaaa.

1. GET RICH OR DIE TRYING

2. IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SENCOND RATED. GRAB THE GPAS AND EDUCATION BY THE BALLS. TIGHTLY.

Jf sjapotea only niko busy napambana na maish.
 
Bibie nitafute na mimi.
Najiweza ila kiasi fulani hivi.

Mimi sitaki papuchi yako, napenda marafiki humu ambao tunaweza ongea lugha moja tukaelewana.

Mwaka Mmoja from school lkn sasa deal langu net yake ni km hilo la jamaa alitaka kukupa mtaji, per week or more.

Karibu.
 
Kuna kipindi ulituaga maadui wa free p, ilikuwaje ukarudi dimbani mama?

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mxiuuuuuuu! Zaidi ya UNGESE unadhani kuna kipi kilinikuta zaidi ya kunyosolewa qubic na maisha. Hahahaaaa! AAAAAAAAAAAAAAAAH! Sito rudia tenaaa ungese uleeeee. Nimekomaaaa kabisaaaa.

Siwezi hata kusema mambo ya aibu tu yale.
 
Mimba napataje kwa mfanooooo, maana mi sicheziii kavuuu hata siku moja. Simuamini mwanaume hata kwa kumtaniaaaa
Nikupe pesa yangu afu niramba sukari kwenye mfuko kamwe sitoi hiyo pesa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…