Lara l live interview on DJ sepetu show!!

safi sana.
unazungumziaje hii tabia ya wanawake kufanywa mapenzi kinyume cha maumbile? wewe ilishawai kukutokea mwanaume akakuambia mfanye hilo jambo?

Hii tabia ni ya kingese tuuu, na anaefanywa hivo mngese kwliii kuanzia wa mwili mpaka akili. Utakubalije mtu akuharibie mwili wako? Kwa shingi ngapiii? Anakupa nini cha maana? Kama nilivosema ni ungese wa akili ndo chanzo kikubwaaa. Lazima akili yako iwe ishafilikaaa kwanza ndo ukubali wakufile mwili. Maisha yakufile wewe na wanaume piaaa tena wanaume wenyewe unakuta nao maisha yana wafila vile vile tena bila KY mxiuuuuuuuu.

kAMA NILIVOSEMA MIMI WANAUME WANGESE KUANZIA WA AKILI, WA KIUCHUMI, MPAKA TABIA NIKO NAO TOFAUTIIII. Watanipata wapiiii waniambie huoo upuuzi. Na nashukuru Mungu sina dhiki, hata bila mwanaume yoyote hata mkinga tupa kule mjini naishia raha mustareheeee kabisa bila wasi wasi. Nashukur Mungu sanaaa, mnoo mnoo uchumi wangu hautegemei wanaume wa aina yoyote.

Na wanaume naokuwa nao wanajua mi sio mwanamke wa kufilaaa, maana asipojiangalia nitamfilaaa yeye akili na kumpiga chuma mboga ya mawazooo mpaka awe hanisi wa kuamuaaa.
 
[emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent
 
asante kwa jibu poa ila nazungumzia hii ya online trading
Hizo za Questa na sijui ungese gani kwamba uchumi wa dunia ni coins na beats ungese mtupu. Nawaangali wanao trade wanafilika tu maisha ndo maana sijashoboka nazo.

Mi mtu wa kuusoma mchezo, niemona kariakoo wakinga na wapemba wanakuja na yebo yebo wanajenga maghorofa nakomaa nao jino kwa jino mpaka kielewekee, China pesa ipo. Na mimi nikazama china.

Ningeona mjinga yoyote naemjua huko Questra mara paaaaap kanunua Morano, kesho ningenunua beats sijui beads za $5,000 ile paaap haina kuwaza. Naona kama forever living kina blandina nyoni wanajiachia kwenye mi appartment wajinga wengine wanazeeka wakiuza sabuniii za forever living si ujinga huo.
 
ahahaaa ngoja Ontario na team yake wakusikie
bna jibu hili swali nilale ! najua ushasex na wanaume wengi kiaina.je kuna ambae aliweza kuacha historia ya kitu flani kwako? like utamu zaidi au maumivu zaidi?????????? au mapene zaidi au alikukopa??????ilikuwaje na alikuwa mtu wa aina gani?@lara hujajibu hapa
 
Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…