The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Nimekuwa nikisoma post za Lara1 muda sasa. Nimegundua anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaa kuwa Ophrah Winfrey.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nikisoma post za Lala1 muda sasa.... Nimegundua anauwezo mkubwa wa kumbanua mambo....ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaaa kuwa Winfrey Ophrah.
Nimekuwa nikisoma post za Lala1 muda sasa.... Nimegundua anauwezo mkubwa wa kumbanua mambo....ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaaa kuwa %Winfrey Ophrah.QUOTE]
Oprah Winfrey
na mim nimekua nikisoma post zako sana unafaa kua snoop dog wa tanzania
= lara 1
Yaani unanishangaza na kunisikitisha sana, hata ID ya mtu unachanganya "R" na "L"?
Siku zote unamsoma humu bado tu hujajuwa anavyoandika ID yake?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .
Unamshusha hadhi Oprah
Swali la mwaka so far!!!Nimejiuliza kwani oprah nae mdaku
Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .