Lara1 ni Oprah wa Tanzania

Lara1 ni Oprah wa Tanzania

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Nimekuwa nikisoma post za Lara1 muda sasa. Nimegundua anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaa kuwa Ophrah Winfrey.
 
Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .
 
= lara 1

Yaani unanishangaza na kunisikitisha sana, hata ID ya mtu unachanganya "R" na "L"?

Siku zote unamsoma humu bado tu hujajuwa anavyoandika ID yake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

hahahaha dada faiza huo mstari wa mwisho huwa unanikosha sana
hahaa
 
Last edited by a moderator:
@he Tomorrow People

Alafu hyo avatar yko huyo msichana nilkua nampenda sna kwenye series ya Tomorrow People"
 
Kwanini asiwe yeye kama yeye. . . . .. Mtu ana uwezo mpe sifa zake mshauri, mtie moyo na vitu kama hivyo inatosha. . .. .

Wanna be mindset. . . . . .
 
Faiza mbona unampa za uso mwenzio? mkaushie....hizi luga zingine ni za watu fulani tu..kiswahili hakiwezi kuzungumzwa na kuandikwa sawasawa kwa wazungumzaji wote .

Ni sawa kutamka huwezi mzuia mtu........lakini kuandika shuleni ndio huwa tunafundishwa hivyo........?.....
 
I love lara 1 naomba namimi nitoe offer kama lawyer wa kenya kwa bint wa obama! Plz accept ma offer
 
Mambo ya kijinga kabisa sijawahi ona ameandika cha maana zaidi ya upumbavu tu.
 
Back
Top Bottom