Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

Wasijue kwamba habari hua ni ya kwanza mengine ni kujiumbua tu na kuonesha upande wenu na rangi halisi.
 
Hakuna vita ngumu kama ile ya kupigana na adui usiye muona/usiyemfahamu! Ndiyo maana kila anacho ambiwa, ndicho anacho kiamini! Hata kama ni cha uongo/upotoshaji.
 
Hizi media sio mchezo zikiamua kukuandama utabaki uchi mbaya zaidi anapata support kubwa kutoka huku ndani, amuulize Netanyahu anavyosumbuka na Aljazeera au amuulize Trump alivyosumbuka na hawa CNN
 
Angeunganisha na ya Padre Kitima ya polisi kutaka majeruhi wapelekwe mortuary ingekuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…