stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..