Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Today Trump is your standard unit, tomorrow you’ll call him hoax for spitting fire on the She Devil Samuya. Hypocrisy at it finest.
Apart from CNN kuna BBC, DW, F24, EU parliament, AU, SADC, Thabo Mbeki Foundation, Ian Khama(Botswana’s former president) and the is endless. Hawa wote ni CNN?
zote izo zmeitwa fake news, infact trump anadai $5B pale bbc kwa kuandikiwa taarifa za uongo na mkurugenzi ilibidi ajiuzulu
 
kama ulikua unajua havilingani kwann ulienda kufanya fujo
Hata kama nilifanya au nitafanya fujo adhabu zipo according to the law and the constitution, adhabu ya fujo siyo kuua kwa bunduki. Hizi demonstrations will be endless until the devil is toppled.
 
zote izo zmeitwa fake news, infact trump anadai $5B pale bbc kwa kuandikiwa taarifa za uongo na mkurugenzi ilibidi ajiuzulu
Just cut the crap, SADC na nyinyi ni wanachama, AU na nyinyi ni wanachama, former president wa Botswana, Thabo Mbeki foundation yaani hao ni watu wa mrengo wenu lakini wamemkataa. So the only truth comes from TBC? From CCM sources? From TZ police force?
 
ameripoti event ambayo hana ushahidi nayo yeye katumiwa picha, what if hakuna kaburi la kondo na what if zile picha zilitengenezwa? media yoyote ambayo ipo credible lazima ureport kitu ambacho upo apo ndo maaana aljazeera hata ndan ndsn syria uko unakuta mwandishi
You are an idiot.
 
On a serious note. Ukitoa nchi za Africa zilizojaa waarabu, South Africa na nyingine ndogo ndogo kama Botswana, Namibia na ushelisheli.

Hivi Africa kuna kitu gani positive ambacho ni man made, siongelei vitu vya asili kama mbuga, madini na fukwe. Yani namaanisha kama vile wenzetu tulikokuwa level moja nao, zile Tiger economies za Asia ambazo leo hii tunaenda kuziomba msaada kutokana na hatua walizopiga

Yani kitu gani cha jitihada zetu tunacho ambacho kinaweza kutuuza kimataifa
Acha matusi na dhihaka mkuu, hizi nchi zetu ambazo bado tunasubiri kujengewa mashimo ya vyoo mashuleni??
 
Kila mtu anafanya kazi anayoimudu,hivyo vivutio tabgazeni nyie
 
Back
Top Bottom