Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

Kuna umaskini unaozidi hadhi ya kuwa mfugo wa mtu mwingine kama ulivyo wewe?
mbna unaumia sana na kua mfugo unataka kua mfugo pia nn, unataka kupanda cheo kutoka mpiga kelele
 
Tamaa pekee niliyo nayo ni kuona nguruwe wote na wafugaji wake wote wakipotea ndani ya nchi hii. Na hilo ndilo linalofuata.
Maskini jeuri 😂 alafu ana mdomo vitendo 0
 
mbna unaumia sana na kua mfugo unataka kua mfugo pia nn, unataka kupanda cheo kutoka mpiga kelele
Anayeumia ni nguruwe ambaye anajuwa anapoteza nafasi ya kula uvchafu toka mezani kwa Samia.
 
On a serious note. Ukitoa nchi za Africa zilizojaa waarabu, South Africa na nyingine ndogo ndogo kama Botswana, Namibia na ushelisheli.

Hivi Africa kuna kitu gani positive ambacho ni man made, siongelei vitu vya asili kama mbuga, madini na fukwe. Yani namaanisha kama vile wenzetu tulikokuwa level moja nao, zile Tiger economies za Asia ambazo leo hii tunaenda kuziomba msaada kutokana na hatua walizopiga

Yani kitu gani cha jitihada zetu tunacho ambacho kinaweza kutuuza kimataifa
Mbinu za wizi wa kura
 
na apa ndo uchumi halisi unapopatikana kuanza kuambiana sjui kuna mbuga, milima kunafanya watu wanakua wavivu sana
 
nipe kwanza tai
Skafu itapendeza 😃

images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom