Nyie mmezoea uchawa, kila mwandishi wa habari uchagua upande anaoumudu ili apande kwenye chati. Wengine hupandishwa na hayo mengine uliyoyasema, yeye kachagua kuwamulika nyie wauaji wakubwa na tayari ndani ya siku chache jina lake limekuwa maarufu hadi vibonzo vya Whatsapp, hadi Msigwa na Mwigulu wanaibuka kuongea pumba sio mchezo. Halafu usimpangie, yeye kachagua upande wa haki,wewe umechagua uchawa. Au waliokufa ni mende sio binadamu!?,hata kama haujafiwa kuwa na ubinadamu.UCHAWA NI LAANA.
What's becoming clear, the massacre was planned, anticipated well ahead of its execution. She will have to explain this.Sure. After all, she's in a mafia organisation that's riddled with numerous fatal flaws. Having committed such a heinous massacre, it's just a matter of time. Sooner than latter, the seams are going to come apa
Nguruwe kama wewe utaniuliza swali gani?jibu swali
Maana yake ni kuwa kichwani mwako hakuna akili timamu tena. Unaendeshwa na mahitaji ya tumbo tu basi!ndio
Sawa habari ni mbaya, ila ni za kweli au za uongo?Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Wewe hullijui hili. Kama si yeye ni nani aliyesababisha maandamano? Pamoja na kuwa mnyama mfugwaji tu, inalazimu kukujibu hivyo hivyo; uelewe au usielewe yote sawa tu. Acha tukujazie takataka unazotafuta kwenye mada za kipuuzi kama hizi.yeye ndo kawatuma muandamane
Kwa nguruwe kama wewe unatamani upelekwe hapo ili ujaze tumbo lako, maana hilo ndilo jambo pekee lililobaki katika uhai wako.na wewe ukicheza utahusika apo
Hakuna nguruwe anayefugwa anayeishi muda mrefu kama huo, kwa hiyo matarajio yako ni 'misplaced'.you will meet her in 2030 and there is nothing you can do to her
wapi wewe muoga tu wewe, kelele nyingi comment kibao vitendo 0Wewe hullijui hili. Kama si yeye ni nani aliyesababisha maandamano? Pamoja na kuwa mnyama mfugwaji tu, inalazimu kukujibu hivyo hivyo; uelewe au usielewe yote sawa tu. Acha tukujazie takataka unazotafuta kwenye mada za kipuuzi kama hizi.
unathibitishaje ni za ukwel na haukua kwenye tukio? aljazeera wakireport ata kama gaza kunarushwa mabomu wapo kwenye tukio, kwa kifupi narrative ya fake news trump aliowapa inawafaaSawa habari ni mbaya, ila ni za kweli au za uongo?
Umejibu kama msigwa.unathibitishaje ni za ukwel na haukua kwenye tukio? aljazeera wakireport ata kama gaza kunarushwa mabomu wapo kwenye tukio, kwa kifupi narrative ya fake news trump aliowapa inawafaa
Kazi yangu ni kukukumbusha tu kuwa wewe ni nguruwe unayefugwa na Samia. Sina kazi nyingine yoyote tena juu yako.mzee kama una uchungu sana andamana leo 😂, otherwise we ni mpiga kelele tu
Kuna umaskini unaozidi hadhi ya kuwa mfugo wa mtu mwingine kama ulivyo wewe?ukiwa maskini shida sana