Hakuna Bima kwenye matukio yanayotambulika kama "force majeure"; mafuriko, kimbunga, vita, fujo za kisiasaWe kilaza kazi ya bima ni nini uhai wa mtu hauna bima na haufananishwi na chochote
Kweli ninyi hamna akili, tumemuona Msigwa wenu akisema CNN ilipaswa ioneshe SGR......Hivi ninyi mna akili kweli. MPINA alisema hakuna barabara jimbo lake na wanamdai mama! Hasira alizokuja nazo huyo Chura Binti Kiziwi ilikuwa za ajabu! Hataki kuambiwa ukweli. Kukiwa na maandamano ni haki yetu kujua, kwanini mnaficha nini, CNN, BBC, Aljazeera na nyingine za kimataifa huwezi kulinganisha na TBC inayotangaza ukiritimba na kumsifia mama na serikali yake ya uuaji. Tembeeni mpanue mawazo siyo mnakaa kwenye nchi inayo-control kila kitu, nchi ambayo kila kiongozi ni nusu au Mungu kamili. Tumewachoka, na haitaishia hapo.......Tutapambana hadi kieleweke.Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Unahangaika sana, sijui ni kitu gani hasa kinakuwasha.Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Thamani yako kama nguruwe unayefugwa na Samia ni ndogo sana; ndiyo maana huwezi kujuwa thamani ya uhai wa mTanzania.Hakuna Bima kwenye matukio yanayotambulika kama "force majeure"; mafuriko, kimbunga, vita, fujo za kisiasa
Kwa hiyo ulitaka Chura auwe maelfu ya Watanganyika halafu kila mwanahabari atangaze kama TBC kuwa Chura anaupiga mwingi, mi-5 tena??
Larry Madowo ametenda kazi tukufu ya kuwasemea wanyonge wasio na sauti wanaouawa kama wanyama nchini kwao.
Na kwa taarifa yako, hata kabla ya documentary ya Madowo kutoka, wizi wa uchaguzi na mauaji ya halaki Tanzania yalikwisha julikana.
Msikilize hapa rais mstaafu wa Botswana...
View: https://x.com/bizy94/status/1987742756857586154?t=84z5ViJeFwotGQAo0lB8PA&s=19
Kwa nini maswali ya kipumbavu kama haya usimuulize mfugaji wako Samia Suluhu Hassan akiye fanya kila liwezekanalo kusababisha haya yote!wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?
Aliechafua Tanzania ni Muuaji Samia na genge lake.Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliupenye ukwel ubebe
Huku ni kuchanganyikiwa sasa..!!Nan kakwambia kila mauaji yanahadhi ya kuitwa uvunjifu wa haki? na nan kakwambia uchaguzi unawahusu watu wa nje? ata tukiamua uchaguzi usifanyike ama tukaamua kusema samia atagombea miaka 20 hakuna wa kumfanya chochote unless ccm wenyewe
Dunia Ina mengi112 ni nini?
Ulitaka awasifie kwa kuua Watanganyika, mpaka watoto wadogo? Kukosa akili nako ni shidaYawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Kwa hiyo kwa kitendo chenu cha kuwaua kwa risasi za moto wachomaji waliochoma mali za hao wafanya biashara wenu, ndiyo kimewapatia haki?wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?