Alipiga 911 kwa sababu gani na kikatokea nini hadi kufukuzwa kazi kisa hiyo 911?sorry i meant 911 😂
wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?Nyie mmezoea uchawa, kila mwandishi wa habari uchagua upande anaoumudu ili apande kwenye chati. Wengine hupandishwa na hayo mengine uliyoyasema, yeye kachagua kuwamulika nyie wauaji wakubwa na tayari ndani ya siku chache jina lake limekuwa maarufu hadi vibonzo vya Whatsapp, hadi Msigwa na Mwigulu wanaibuka kuongea pumba sio mchezo. Halafu usimpangie, yeye kachagua upande wa haki,wewe umechagua uchawa. Au waliokufa ni mende sio binadamu!?,hata kama haujafiwa kuwa na ubinadamu.UCHAWA NI LAANA.
We kilaza kazi ya bima ni nini uhai wa mtu hauna bima na haufananishwi na chochotewafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?
UchawaOn a serious note. Ukitoa nchi za Africa zilizojaa waarabu, South Africa na nyingine ndogo ndogo kama Botswana, Namibia na ushelisheli.
Hivi Africa kuna kitu gani positive ambacho ni man made, siongelei vitu vya asili kama mbuga, madini na fukwe. Yani namaanisha kama vile wenzetu tulikokuwa level moja nao, zile Tiger economies za Asia ambazo leo hii tunaenda kuziomba msaada kutokana na hatua walizopiga
Yani kitu gani cha jitihada zetu tunacho ambacho kinaweza kutuuza kimataifa
Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za afrika, kwa ambao hamjui historia yake kidogo iko hivi
Alianza kazi kwenye mashirika kadhaa kenya lakini shirika liliompa umaarufu ni NTV, lakini hakukaa sana apa mpaka pale alipokuja kufukuzwa baada ya kufanya interview na mwanamziki prezo ambae kwenye hio interview alipiga 112 live akiwa online, hapo ndo ulikua mwisho wake wa media
Baada ya hapo alikuna kuibuka shirika lingine la nje BBC, ambapo hakukaa sana akafukuzwa ndo mpaka leo yupo cnn, however wakenya wengi hawampendi kwa sababu ya tabia yake ya kurusha maadamano live kutoka kenya kila kukiwa na machafuko hua wa kwanza kuruka kwenye tukio kurusha maovu yote, hutawahi kumkuta kokote akisema kenya ina vivutio ama fursa za uwekezaji, mwenye macho..
Kwa hiyo ulitaka Chura auwe maelfu ya Watanganyika halafu kila mwanahabari atangaze kama TBC kuwa Chura anaupiga mwingi, mi-5 tena??kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo,
Nan kakwambia kila mauaji yanahadhi ya kuitwa uvunjifu wa haki? na nan kakwambia uchaguzi unawahusu watu wa nje? ata tukiamua uchaguzi usifanyike ama tukaamua kusema samia atagombea miaka 20 hakuna wa kumfanya chochote unless ccm wenyeweKwa hiyo ulitaka Chura auwe maelfu ya Watanganyika halafu kila mwanahabari atangaze kama TBC kuwa Chura anaupiga mwingi, mi-5 tena??
Larry Madowo ametenda kazi tukufu ya kuwasemea wanyonge wasio na sauti wanaouawa kama wanyama nchini kwao.
Na kwa taarifa yako, hata kabla ya documentary ya Madowo kutoka, wizi wa uchaguzi na mauaji ya halaki Tanzania yalikwisha julikana.
Msikilize hapa rais mstaafu wa Botswana...
View: https://x.com/bizy94/status/1987742756857586154?t=84z5ViJeFwotGQAo0lB8PA&s=19
alafu larry madowo hiki ni chombo cha 8 anafukuzwa ukijulisha kwamba cnn yenyewe inajulikana kwa fake newsKwa hiyo ulitaka Chura auwe maelfu ya Watanganyika halafu kila mwanahabari atangaze kama TBC kuwa Chura anaupiga mwingi, mi-5 tena??
Larry Madowo ametenda kazi tukufu ya kuwasemea wanyonge wasio na sauti wanaouawa kama wanyama nchini kwao.
Na kwa taarifa yako, hata kabla ya documentary ya Madowo kutoka, wizi wa uchaguzi na mauaji ya halaki Tanzania yalikwisha julikana.
Msikilize hapa rais mstaafu wa Botswana...
View: https://x.com/bizy94/status/1987742756857586154?t=84z5ViJeFwotGQAo0lB8PA&s=19