Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

We kilaza kazi ya bima ni nini uhai wa mtu hauna bima na haufananishwi na chochote
ahaa kumbe kazi yenu kuchoma kisa bima ipo basi tutawapa bima za afya mbelen kabla hamjajaa mwananyamala, alafu bima hailipi maandamano
 
Alipiga 911 kwa sababu gani na kikatokea nini hadi kufukuzwa kazi kisa hiyo 911?
ingis youtube search interview alifanya na prezoo ambayo ndan yake alipiga 911
 
We kilaza kazi ya bima ni nini uhai wa mtu hauna bima na haufananishwi na chochote
Hakuna Bima kwenye matukio yanayotambulika kama "force majeure"; mafuriko, kimbunga, vita, fujo za kisiasa
 
Kweli ninyi hamna akili, tumemuona Msigwa wenu akisema CNN ilipaswa ioneshe SGR......Hivi ninyi mna akili kweli. MPINA alisema hakuna barabara jimbo lake na wanamdai mama! Hasira alizokuja nazo huyo Chura Binti Kiziwi ilikuwa za ajabu! Hataki kuambiwa ukweli. Kukiwa na maandamano ni haki yetu kujua, kwanini mnaficha nini, CNN, BBC, Aljazeera na nyingine za kimataifa huwezi kulinganisha na TBC inayotangaza ukiritimba na kumsifia mama na serikali yake ya uuaji. Tembeeni mpanue mawazo siyo mnakaa kwenye nchi inayo-control kila kitu, nchi ambayo kila kiongozi ni nusu au Mungu kamili. Tumewachoka, na haitaishia hapo.......Tutapambana hadi kieleweke.
 
Unahangaika sana, sijui ni kitu gani hasa kinakuwasha.

"Wakenya wengi hawamtaki..." wewe umeyajuaje hayo?

Hivi kweli mtu na akili zako kichwani bado unayo matarajio mema juu ya Samia Suluhu Hassan?

Hizi mada za kipuuzi unazojaza humu unadhani zitamsaidia chochote huyu mtu mwovu kabisa?

Kama ni kupigania mkate tu unaoupata toka kwa huyu mfugaji wako; ndiyo ujidhalilishe kiasi hiki?

Thamani ya ubinaadam wako ni hayo makombo unayotupiwa chini na Samia?
 
Samia Suluhu Hassan will be dragged out of power; no doubt about that
 
wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?
Kwa nini maswali ya kipumbavu kama haya usimuulize mfugaji wako Samia Suluhu Hassan akiye fanya kila liwezekanalo kusababisha haya yote!

Hivi unataka ukumbushwe kila kilicho sababisha hali hiyo kuwepo?
 
Aliechafua Tanzania ni Muuaji Samia na genge lake.
 
Nilijua huwa anatengeneza picha za AI kuzichafua nchi za Africa!!

"Kama mnataka kupata habari nzuri kuhusu Africa,nendeni kwenye tovuti zao za utalii" LM
 
Nan kakwambia kila mauaji yanahadhi ya kuitwa uvunjifu wa haki? na nan kakwambia uchaguzi unawahusu watu wa nje? ata tukiamua uchaguzi usifanyike ama tukaamua kusema samia atagombea miaka 20 hakuna wa kumfanya chochote unless ccm wenyewe
Huku ni kuchanganyikiwa sasa..!!
 
Ulitaka awasifie kwa kuua Watanganyika, mpaka watoto wadogo? Kukosa akili nako ni shida
 
wafanya biashara waliochomewaa biashara zao hawataki haki?
Kwa hiyo kwa kitendo chenu cha kuwaua kwa risasi za moto wachomaji waliochoma mali za hao wafanya biashara wenu, ndiyo kimewapatia haki?

Msubiri sasa kupelekwa ICC. Na muache kumlalamikia huyo Madowo kwa sababu tu ya upumbavu wenu wenyewe. Au zile mahakama zipo kwa ajili ya mapambo siyo? Ila haki inapatikana kwa kuua wakosoaji wenu! Takataka kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…