zote izo zmeitwa fake news, infact trump anadai $5B pale bbc kwa kuandikiwa taarifa za uongo na mkurugenzi ilibidi ajiuzuluToday Trump is your standard unit, tomorrow you’ll call him hoax for spitting fire on the She Devil Samuya. Hypocrisy at it finest.
Apart from CNN kuna BBC, DW, F24, EU parliament, AU, SADC, Thabo Mbeki Foundation, Ian Khama(Botswana’s former president) and the is endless. Hawa wote ni CNN?
Hata kama nilifanya au nitafanya fujo adhabu zipo according to the law and the constitution, adhabu ya fujo siyo kuua kwa bunduki. Hizi demonstrations will be endless until the devil is toppled.kama ulikua unajua havilingani kwann ulienda kufanya fujo
Just cut the crap, SADC na nyinyi ni wanachama, AU na nyinyi ni wanachama, former president wa Botswana, Thabo Mbeki foundation yaani hao ni watu wa mrengo wenu lakini wamemkataa. So the only truth comes from TBC? From CCM sources? From TZ police force?zote izo zmeitwa fake news, infact trump anadai $5B pale bbc kwa kuandikiwa taarifa za uongo na mkurugenzi ilibidi ajiuzulu
Sasa mbona mnaweweseka?kwan watatufanyaje mkuu? sisi tunakanushs kwa ajili ya uchumi na sio uhalifu wenu, infact mbna bado hamjasema
You are an idiot.ameripoti event ambayo hana ushahidi nayo yeye katumiwa picha, what if hakuna kaburi la kondo na what if zile picha zilitengenezwa? media yoyote ambayo ipo credible lazima ureport kitu ambacho upo apo ndo maaana aljazeera hata ndan ndsn syria uko unakuta mwandishi
Acha matusi na dhihaka mkuu, hizi nchi zetu ambazo bado tunasubiri kujengewa mashimo ya vyoo mashuleni??On a serious note. Ukitoa nchi za Africa zilizojaa waarabu, South Africa na nyingine ndogo ndogo kama Botswana, Namibia na ushelisheli.
Hivi Africa kuna kitu gani positive ambacho ni man made, siongelei vitu vya asili kama mbuga, madini na fukwe. Yani namaanisha kama vile wenzetu tulikokuwa level moja nao, zile Tiger economies za Asia ambazo leo hii tunaenda kuziomba msaada kutokana na hatua walizopiga
Yani kitu gani cha jitihada zetu tunacho ambacho kinaweza kutuuza kimataifa
Kinyeo cha mleta mada..112 ni nini?
Hii yako ndio dhihaka 😁Acha matusi na dhihaka mkuu, hizi nchi zetu ambazo bado tunasubiri kujengewa mashimo ya vyoo mashuleni??
Acha kabisa mkuu, ni aibu sana.Hii yako ndio dhihaka 😁
Trump?wasingekua wanaitwa fake news kama wanareport taarifa halisi