Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Kwako boss Mo,
Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai
Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.
Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.
Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!
Kwako Boss Mo!.