Lassine kouma ni Bonge la mchezaji,, Mo toa pesa boss tunataka huyu mchezaji,, ukishindwa kumleta huyu mchezaji bora uondoke tu

Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
ata wewe unaweza kutoa pesa
 
Anasubili Hadi siku akivunjika mguu ndio ataleta Kwa 3M
 
Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
Kwenye Uzi wako hapo mwisho umemalizia kwa kusema "binafsi sitakuelewa huyu mchezaji asipotua msimbazi". 😄😄
 
Screenshot_20250722_214702_Instagram.jpg
 
Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
Tayari umeshawafanyia Yanga scouting
 
Utopolo wamepita nae
 
Back
Top Bottom