Lassine kouma ni Bonge la mchezaji,, Mo toa pesa boss tunataka huyu mchezaji,, ukishindwa kumleta huyu mchezaji bora uondoke tu

Kulitamka hilo jina kwa kiswahili ni kipengele
Mpenja, mzinga na wengine wana kazi kulitaja hilo jina wakati wa mechi.....just imagine jamaa ndio anashambulia alafu mtangazaji analitaja kwa haraka, anakwenda pale kouma,kouma,kouma....hahaha hatari sana lazima achapie tu
 
Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
Mo ni Chura kiziwi, ila Eng. Hersi Said kakusikia kilio chako kijana. YANGA BINGWA 2025/26
 
Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
Aisee
 
Karibu jangwani kiungo wa ball Lassine 🔥
20250725_230010.jpg
 
Mo ni kama Waruwaru...
Eti wanasajili kimya kimya.
Kina nani hao?
Utafikiri wanatengeneza wachezaji wao huko viwandani.
Football and players wanajulikana, huo ukimya ndio kutuletea kina Jobe na Freddy
Wametoa wachezaji kutoka mamelod kwa mkopo,
Japo sio wachezaji young maana wote wana 29 years.
Nafikili wanataka experience Yao.

Mimi naona ingekuwa vyema kwa vile unajenga timu , unatafita talented na mchazaji ambaye ana skills za mpira age kati ya 22 mpk 25, ukiwanao hao unaweza ukakaa nao hata misimu 4
 
Unaamini anajenga timu au anatunyonya tu
 
Mo ni kama Waruwaru...
Eti wanasajili kimya kimya.
Kina nani hao?
Utafikiri wanatengeneza wachezaji wao huko viwandani.
Football and players wanajulikana, huo ukimya ndio kutuletea kina Jobe na Freddy
Tuliza kipago huna hela.
 
Lassane uliyemaifo
Kwako boss Mo,

Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai

Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine ( kama kawaida yao )...ila huyo mchezaji tajwa hapo juu msajili mwenyewe kwa gharama yoyote.

Binafsi sitokuelewa huyu mchezaji asipotua Msimbazi.....utakuja kunishukuru baadae.

Sifa ya BOSS ni kumwaga pesa!!!

Kwako Boss Mo!.
Lassine uliyemsifia ndiye huyu huyu anayejifungisha au Mo alisainishwa kimeo wa kuokotezwa?
 
Tupunguze ushauri jamani kwenye mipango ya watu
 
Back
Top Bottom