Latino na harakati za kuzamia ughaibuni mpaka kutoswa baharini

Imeanza vizuri ila baadae tutapelekwa WhatsApp/telegram
 
Wakuu hiki ni kipande cha Latino mwenyewe akielezea situation ya icho kipande kwenye hao nyani mi nilipunguza sababu naandika ye kajazia zaidi kama ni chai ye ndio anajua.
Kambaku
mswati52
Mgibeon
KISIWAGA
geraldincredible

Kipande cha kupiga tenk la mafuta na kupasua nacho kitafika na maelezo yake
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Na hiki pia ni kipande cha clip akielezea apo walipopambana na patrol mpaka akapasua tank za mafuta kwa kupiga risasi uyo ndio Latino mwenyewe.
 

Attachments

  • PART6_VIJANA WALIOZAMIA MELI NA KUTUPWA KATIKATI Y... WENGI_MAITI_JANGILI MUASI MSITUNI(240P)_...mp4
    24 MB
Naona ndo style mpya za nyuzi za awamu ya 6 ,story baada ya story...ila utani tag ukishamaliza kusimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…