Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Jamaa bangi sanaamzigo upo nimeufatilia youtube na kweli latino ni baharia kweli amepitia mengi na anaongea kama juma nature
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa bangi sanaamzigo upo nimeufatilia youtube na kweli latino ni baharia kweli amepitia mengi na anaongea kama juma nature
Naandikaje YouTube?Jamaa bangi sanaa
anaonekana ana roho ngumu sanaJamaa bangi sanaa
Naandikaje YouTube?
Mambo magumu hu shape mtu na kuwa mgumu mkuuanaonekana ana roho ngumu sana
Kheri umesema wewemzigo upo nimeufatilia youtube na kweli latino ni baharia kweli amepitia mengi na anaongea kama juma nature
mkuu mwendelezo vipi?Kheri umesema wewe
poa tunasubiriIzo clip ni baada ya watu kuongea sio mzigo utashuka sema umeme umezngua nilipo.
Mwendelezo ntaleta sema umeme nilipo umezngua na simu aijiwez ntaleta mwendelezomkuu mwendelezo vipi?
Mzee shusha mzigoYap Tumerejea ukiona kama ni chai ongezea tangawizi na mchai chai kunywa
*****#*******#******#***
Latino........
Zile shughuli za kutega papa tulizifanya pale na kwa muda mrefu mi nilikaa pale nikishirikiana na wale jamaa wale papa ilikua tukisha wavua tunauza ila wao ndio walijua wana wauzia akina nani ila kuna oda special watu walikua wanaweka kutoka nchi tofauti ndani ya Africa.
Lakini kwa upande wangu nilianza kuwaza sasa yani nilipata mawazo ya kurudi nyumbani (TZ).
Ilibidi nimueleze mwenyeji wangu namanisha yule sister duu Sofia kwamba sasa ni memiss home ila niseme kitu Mimi na Sofia tuliingia kwenye mahusiano lakini aikua mahusiano ya kujiachia ni mwendo wa mpela mpela kibabe na Mara nyingi mi sikua muanzaji mpaka aanze yeye kisha mim ndio nijibu mashambulizi kwake
lakini mambo ya kushikana began, lete hua na mkono kubusiana baby nishike kunako ayakuapo aikua mtindo huo .
Swala la kugegeduana ilikua ni vitendo tu na popote pale penye usalama wa faragha apo akuna kupoteza muda maandalizi sjui kuzama chumvini baby ninyonye mjegeje akuna, apo iwe pipani tu merest basi apo mechi inaweza anza, kwenye gari au wapi kifupi ilikua ivyo na hata nguo atukua tukivua zote ni kusshusha tu kina mna mladi msumari unaingia mahala pake tukimaliza akuna shobo sijui asante nimeelewa mzigo aipo kila mtu kivyake.
Bidada alikua mzuri alafu alipanda hewani shepu ipo ila sio mtu wa kuonesha tabasamu ovyo.
Basi baada ya kumueleza swala langu la kutaka kurudi nyumbani tz alikubali na kunisapoti fresh alinipa vijisent kidogo mi pia nilikua nawekeza sio mbaya mi niligeuka nilirud tz kupitia Mombasa nikaingia Tanga kisha Dar nyumbani. Home sweeel home .
Nilikutana na mzee wangu tena,,
ule msalaba, ambao nilipiga kwenye uharamia nilikua nao kitu cha kwanza na mzee tulienda kwa sonara tukapiga pesa ule msalaba kwa ela ya sasa ingefikia kitu ka milioni 10 ile pesa na mzee tuliwekeza kwa kununua maeneo pesa nyingne dingi alinipiga changa sababu mzee alikua mtu wa tungi.
Na hii tungi ilisababishwa na bi mkubwa mother alimuacha dingi kwa kumwambia hana uwezo kimaisha ivyo anaondoka na ndipo dingi akamwambia kama unaenda OK ila watoto waache aliondoka lakini akurizika dingi, akawa mtu wa mawazo ndipo akaingia kwenye pombe.
Lakini dingi mpaka anafariki aliacha urithi wa maeneo mengi kwetu uko pembezoni mwa mji Kisarawe (Rest in well father )
Lakini pia mim mwenyewe Nina mjengo wangu mbagala ila bado sijafanya finishing huo mjengo .
Baada ya hapo sasa nikajiunga na mzee kuingia msituni kwenye hifadhi izi kuwinda wanyama pori uwindaji haramu nikishirikiana dingi mzee aliku ana kundi lake ambao walikua na bunduki nne za kuwindia walikua wana Mac 4 Mac 3 sub machine gun (SMG) na short gun pia dingi alipitiaga jeshi lakini akubahatika kuchaguliwa na alikua mzee mwingne alipitia jeshi la mgambo alipiga mafunzo lakini mwisho akaacha tulikua nae.
Katika zile ishu za uwindaji ilikua kabla ya kwenda kule msituni kuna imani flani za kishirikina matambiko ilibidi tufanye kwanza.
Apo sasa ilikua tuna kusanyika wote ambao inabidi twende msituni kuwinda kwa mtalamu (mganga) yule mganga anaagua kwanza ile safari kisha anasema kwamba siku flani ndio safari inatakiwa iwepo sasa wakina mama ambao waume zao wanakwenda uko wana andaa unga ,mboga ilikua lazima ibebwe sio kwamba fikra ziwe msituni kuna nyama hapana,
Sababu uko msituni atukukaa siku moja ilikua mpaka mwezi tunakua huko na safari zile za hifadhi za mbali tulikua tunatembea ata siku tatu tupo njiani siku ya nne ivi ndio unaingia eneo sio kipole pole .............
hii episode ilikua fupi wakuu
Tuta endelea kuwepo
N.B sio kila kitu unakijua vingine uvijui ndani ya dunia hii yenye mambo mengi mpaka vikufike ndio utajua ujui .
Mkalimani wa taifa
Hapo kweny mjegejo hakuna bby I miss you...Yap Tumerejea ukiona kama ni chai ongezea tangawizi na mchai chai kunywa