Hii stori ina chai ya hamira ndani yakehapo kwenye chatu ndipo latino kaniacha na kalamu mdomoni[emoji52][emoji52][emoji52]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii stori ina chai ya hamira ndani yakehapo kwenye chatu ndipo latino kaniacha na kalamu mdomoni[emoji52][emoji52][emoji52]
Tayari mzee watu wanahisi uhongo labdaLatino ni msimuliaji mzuri sana Kati ya wote waliopita Davistar mata.
Mikasa na matukio akumbanayo mwanadamu ndo elimu yenyewe na sio hii ya english medium.
Nasubiria episode ya 14 itoke
Uongo wa kutunga upate simulizi haiwezekanikiTayari mzee watu wanahisi uhongo labda
√Uongo wa kutunga upate simulizi haiwezekaniki
Wazungu jau sanaTuendelee
Latino Baada ya shughuli nyingi na misuko suko yote iyo uko msituni na baharini kwenye uvuvi hatimae kurejea nyumbani sasa nikaachana nayo.
aya maswala ya misitu serikali ilizidisha uimara kwa kutega camera za kawaida msituni na pia camera za kupaa (drones) ivyo palikua na ulinzi mkubwa wakaweka uzio (fens) ivyo.
ikitokea unakwenda huko kukamatwa ni kwa wepesi tu nikaacha izo ishu pia mzee nae akaacha na hapa sasa nikaanza ishu ya kwenda
south Africa.
Nilikutana na rafiki angu mmoja anaitwa Mangushi sio jina halisi alijipa tu hili jina ni la mji Upo uko msumbiji ye alishawai kufika uko , kwaiyo yeye sasa ndio aliongoza hii safari ya kuelekea south Africa kupitia njia za msituni nampura uko kupitia msumbiji ili tuitafute Richadbay lakini Mimi nilikua nakwenda Dolphin cost.
Tulikua Mimi uyo mangushi na mshikaji mwingne tukajiandaa ili tupite njia za panya
Na sio baharini kwa jinsi muda ulivyokua unakwenda ulinzi uliimarishwa sana kwaiyo aikua laisi, mangushi alikua anaijua iyo misitu kwa sababu alishakaa uko.
Tukaandaa vitu kama kawaida mikate kibiriti bangi sigara ,konyagi na juisi safi na msafara kuanza kuelekea mtwara tulipanda basi ,
Baada ya kufika mtwara tulipata Lori la kubeba mbao kuna mtu alituunganisha safari ikaanza tena usiku iyo ila sasa ilikua tukikaribia boda tunashuka tunaingia msituni ye anakaguliwa sisi tunamkuta mbele ila sasa hapo tunaweza tembea kilomita nyingi na ni mwendo wa haraka ili tumkute akitusubiri.
aituambia tuwe makini sababu ile misitu ina chui wengi yatupasa tuchukue tahazari kweli tulitembea jamaa tukamkuta mbele tukapanda safar ikaendelea.
Tukiwa ndani yule dereva akatushauri kwamba ile gari inakwenda kupakia mbao kama vipi tukapige kazi ili tupate pesa itusaidie mbeleni kweli tukakubali na tukaenda mpaka eneo husika tulikuta watu wanapiga kazi uko wanapasua mbao kwa misumeno ile mikubwa azikuepo izi chainsaw migogo inapasuliwa sio mchezo ile shughuli ili tuweka pale siku nne,
tulifanya ile kazi mpaka kuimaliza na tukaondoka na Lori ile ile mpaka mbeleni akatuacha sehemu ambayo sie ndio uelekeo wetu tunako kwenda, Basi hapo sasa tukawa tunaingia msumbiji ila tukiitafuta Maputo sababu ukiwa pale south Africa sio mbali ila hapo njia ni pori kwa pori na humo porini kuna askari ambao ni washenzi kiswahili wanakijua ila ukikutana nao wanaongea vilugha vyao makusudi na pia waporaji wanaweza kupora kila kitu na ku ku hua bila shida lakini sio hao tu pia huo msitu wahasi nao wamo ukiacha wahasi pia wapo wanyama hao wote inabdi mcheze nao umakini unahitajika wa hali ya juu .
Tilikwenda na ile safari tukafika sehemu kupumzika tukawasha moto ilikua mchana iyo tulikaa pale mpaka usiku, imefika usiku muda wa kulala tukashauriana tulale juu kwenye miti sio pale chini kwa usalama zaidi tulitafuta mti wenye matawai mazuri na kulala humo.
Ikawa ndio kila sehemu tunapo pumzika tunalala juu siku iyo tukashauri kwamba tulale tu chini mbona akuna shida ila kipindi icho cha mvua ikabidi tulale tu juu tukapata mti kumbe kwenye ule mti kuna nyoka mmoja mkubwa alikua hapo sasa baada ya kumuona mmoja wetu mapepe akateleza toka juu akaanguka mguu ukateguka aukuvunjika pale tulitoka tukaondoka tukiwa njiani mvua inanyesha na chakula kiliisha mbele bahat nzuri tukakuta hema lipo kati kati ya msitu hapo tukasogea palikua na moto unawaka pia palikua na kitu kimepikwa pale kwa nje alafu kwa juu ivi ametundikwa panya buku na kulikua na bunduki tulisogea mpaka pale.
Alitoka mzungu ndani ya hema lile akatukuta pale nje akatupokea na kumpa huduma yule jamaa alieumia mguu pale sasa alikua anaongea na Mangushi kireno japo alikua ajui sana kireno mangushi na hata yule mzungu inaonekana ni wa taifa jingine alimueleza tunapokwenda ila yule mzungu akasema tumepotea tunako kwenda sio uko ni kwa watu wabaya
.
Tukamwambia sie tuna njaa na pale atukula kabisa aktuambia tusubiri chakula kipo jikoni sasa ivi kitakua tayari, baada ya muda alipakua alichukua sahani na kuanza kupakua na kutupa chakula kilikua dizaini ya makande amechanganya na panya buku humo humo unafanyaje njaa unayo tulikula ila tuliwatoa vichwa.
Tulikaa pale kwa siku kazaa ila yule mzungu ilikua ikifika mida flani ana ondoka kuondoka kwake tukafanya upelelezi tukamkagua vitu vyake tukakuta ana bunduki zingne pia vitambulisho jamaa alionekana ni jasusi pale yupo kwa kazi maalumu na pia ni double agent yupo upande wa serikali na pia upande wa wahasi shirika lilikua ni (CIA).
Ivyo basi tulikaa pale na tulihitaji tupate muongozo toka kwake tupate sehemu salama ya kupita kweli siku iyo alituongoza na tulivyofika sehemu flani alitupa silaa moja kama ya ulinzi hasa wanyama tulikua njia panda akatupa njia ya kupita alitumbia acheni njia ya kushoto pia acheni ya kulia nyosheni mbele mtakuta mto mtavuka hapo sisi tukaendelea ila tulipo fika kwenye ule mto walitokea watu flani hivi jamii ya msituni wanaishi uko pale wanafata samaki wakatuzunguka pale pale jamii yao kama wamakonde ivi ila wanatumia mishale wakatutoa wakatupeleka sehemu flani pana kijiji na kuna familia zinaishi uko wengi wao wamekimbia machafuko na pia kuna migodi wanachimba madini na kuna matajri hua wanakuja pale wazungu ambao nao wapo kwenye mashirika aya ya kijasus wanakuja kuchukua madini pale aina ya dhahabu
Tuarejea soon
Peramiho yetu
Fix zimeanza sasa. CIA akuachie kabisa hema lake (sikatai) Ila na vitambulisho juu + silaha watu hawajui ndio mara ya kwanza amewaona.Tuendelee

Fix Azijaanzia hapa ongera kwa kumkataaFix zimeanza sasa. CIA akuachie kabisa hema lake (sikatai) Ila na vitambulisho juu + silaha watu hawajui ndio mara ya kwanza amewaona.
Af Latino alivyo sound et siku chache washastukia jamaa ni double agent. Kwa hili namkataa rasmi Latino.
Nimeziona anzia juu nikawa navumilia nipate burudani, Ila kwa sehemu ya CIA asee jamaa amevuka mipaka [emoji1787][emoji23]Fix Azijaanzia hapa ongera kwa kumkataa
AiseeNimeziona anzia juu nikawa navumilia nipate burudani, Ila kwa sehemu ya CIA asee jamaa amevuka mipaka [emoji1787][emoji23]
Stori ni nzuri, sema kuna baadhi ya sehem ni chai za waziwaziFix Azijaanzia hapa ongera kwa kumkataa
kwani hivi hao CIA wanakaa mbinguni?Nimeziona anzia juu nikawa navumilia nipate burudani, Ila kwa sehemu ya CIA asee jamaa amevuka mipaka [emoji1787][emoji23]
MfanoStori ni nzuri, sema kuna baadhi ya sehem ni chai za waziwazi
We ndio mshamba wa Mbamba bay. Kwa mtu mwenye mishe classified na tena ukutane nae porini sio rahisi akuamini kama Latino anavyosema na kujua Identity yake Itakuchukua miaka na miaka.kwani hivi hao CIA wanakaa mbinguni?
Ushamba wa movie za Hollywood unakusumbua
Sasa unabisha kwamba hakuwepo?We ndio mshamba wa Mbamba bay. Kwa mtu mwenye mishe classified na tena ukutane nae porini sio rahisi akuamini kama Latino anavyosema na kujua Identity yake Itakuchukua miaka na miaka.
Fungua akili maaanina zako.