Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Kweli hiyo ni changamoto na changamoto hiyo hata Buguruni ipo ndiyo maana ruti zote zinazoishia pale zimefutwa,lakini serikali inapaswa iangalie namna ya kuipatia ufumbuzi maana sehemu nyingi zinakuwa na tatizo la usafiri na inalazimu abiria kupanda gari zaidi ya moja sehemu ambayo angepanda gari moja tu.Halafu pale vingunguti gari zipaki wapi??