LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

Halafu pale vingunguti gari zipaki wapi??
Kweli hiyo ni changamoto na changamoto hiyo hata Buguruni ipo ndiyo maana ruti zote zinazoishia pale zimefutwa,lakini serikali inapaswa iangalie namna ya kuipatia ufumbuzi maana sehemu nyingi zinakuwa na tatizo la usafiri na inalazimu abiria kupanda gari zaidi ya moja sehemu ambayo angepanda gari moja tu.
 
yanayoanzia mbezi-kimara korogwe-majichumvi(Mabibo jeshini)-external-mabibo-kigogo-karume- mnazi mmoja
Yeye anasemea route inayopita Ubungo sio hio ya external-mabibo jeshini-maji chumvi
 
Sehemu nyingine zimekaa fyongo mkuu, hiyo kusema kuwe na gari moja sip rahisi. Gari zitakua nyingi sana na foleni itakua kubwa kama vitu vitakua vingi, segerea stendi, chang'ombe stendi, vingunguti waweke stendi, buguruni stendi..

Hivi ilivyo sio mbaya sana tofauti na kipindi cha nyuma, wafanye tu upanuzi wa baadhi ya barabara na kuboresha barabara za mitaani, watu wawe na options nyingi.
 
Hii route mbona ipo ya Mbezi to Gomz via Kinyerezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…