LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

Shida wakipandisha mafuta yakishuka wao hawajitokezi kuomba nauli zishushe

Ila yakipanda sh.100 wanataka nauli iongezewe na yakishuka sh.100 hakuna atayeshusha nauli
 
Mbona Abood ameongeza nauli tayar na Latra wapo Kimya
 
Naombeni mnipe zile namba za udhibiti mwendo kasi maana Hawa madereva sikuizi wanatembea na vismart Jen kwenye machupa ya maji ili ntapoona simuelewi niripoti kwenu 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…