Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama Luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD, nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys, Happy Nation na New force.

Hii ni kama double standard, mnabagua wa kuwapa adhabu, kwani hao wengine wanatumia VTD za tofauti?

20230302_194335.jpg
20230302_193838.jpg
 
Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD,nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys ,Happy Nation na New force...

Hiyo ni official letter kulikoni subject kuwa makosa ya wazi hivyo?

"Kwamba ni bus namba 835 EBR na 835 EBR" Kwamba ni mabus mawili yenye namba Moja?

Alisema beberu, "the guilty are always afraid."

LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

Ushauri wa bure, wenye mabus haya mahakama zipo kwa ajili yenu. Haki Iko huko.

Kwani, hivi vifaa huwa haviharibiki ila kwa kuchezewa tu?
 
Jamaaa Ana gari kali sana na very comfortable ukiwa ndani.
Last week nilipanda from mwanza to Dar.
Tuliingia Dodoma pale Hotelini saa 9 hivi after 10 minutes ndo Allys ile luxury ndo inaingia.
Msamvu tulitakiwa tuingie mapema sana ila dereva akadai akiingia pale atazuiwa kutoka hadi ifike saa 2 na nusu.
Ikabidi tupaki pale Juu Makunganya kwenye Petrol station ya engine from saa moja na nusu hadi saa 2 hivi ndo tukaanza kutoka mdogo.
Tuliingia Magufuli stand saa 4 na nusu.

Jamaaa wanatembea mno.
 
Back
Top Bottom