Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
- Thread starter
- #21
Katarama kawakanda sana,mpaks wakaamua watoke saa kumi na moja lakini wapii..wakaona dawa na kumchomea latraHuyu jamaa kawashika pabaya Ally's na Happy Nation,Lazma wamchafulie ili wabaki wao. Make mwamba ana Scania tupu halafu bomba kinyama.Ni kampuni mpya Haina mda mrefu.