Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

Jana kelele zilikuwa nyingi Sana hasa twitter nahisi latra wameona Aibu ndiyo maana chuma bado zipo barabarani alafu kumbuka katarama ni tajiri wa malori na vituo vya mafuta kwahiyo figisu za kishamba anaziweza..
Leo zipo road kama kawaida kama halijatokea kitu, na kama hii kampuni ikileta bus zingine mbili Hali itakuwa mbaya Kwa upande wa bus za ally's
Sipendi miliki vitu vingi vya ovyo au popular

Nakubali sauli, katarama

Sauli akiongeza gari tatu tu au katarama aongeze mbili hali itakuwa mbaya Sana kwao

Ubaya chuma Ni za Bei ghali huwezi zitoa Leo kesho hazitoki pesa itachelewa Rudi

Au na yeye anunua golden dragon kama za Ally's
 
Hivi kikilia ndio spidi imezd au mana nikisafiri nasikia kinalia ila suka hana habari mwendo mchibuyu 100+
kinalia kuanzia km 1 hadi km ya 600!, sioni mantiki lbd kama kingekuwa kinazima au kinasababisha extremely consuption ya mafuta ili ma boss wakokae na madereva kutokukimbia speed kubana mafuta
 
Kutoka mwanza Leo Ally's anaitafuta kwa tabu sana katarama bila mafanikio.

Kutoka Dar Ally's katoka Zaid ya 40minutes mbele ya katarama Sasa Ila kwa habari zisizo rasmi pale msamvu shughuli ilikuwa ishaisha.

Scania Kama za katarama au superfeo zile zinamudu 120km/h bila shida yoyote alafu hata abiria hawashuki Ila kwa mchina akifika 100km/h unaona Kama bus unataka kupaa.

Somo zuri kutoka kwa KATARAMA wekeza vizuri ili iwe mshindani mzuri zile chuma zinapiga Nenda🔁Geuka lakin bado hazishikiki. Mfanyie hvyo mchina Kama pale shelui hajakugomea kupanda
Nimepanda Sana Allys Ikifika 100 Utajua Maana Kishindo Mno
 
Screenshot_20230303-175335.png

Hapa Ally's ana kazi kubwa ,hata kiuchawi uyu katarama ni balaa
 
Kampuni za mihemko kama hao katarama huwa hazifiki mbali, muda utasema.
 
Tena Maccopolo kabisa Scania. Si haki bora wafungie Higer zinazoangusha kila siku.
 
Kutoka mwanza Leo Ally's anaitafuta kwa tabu sana katarama bila mafanikio.

Kutoka Dar Ally's katoka Zaid ya 40minutes mbele ya katarama Sasa Ila kwa habari zisizo rasmi pale msamvu shughuli ilikuwa ishaisha.

Scania Kama za katarama au superfeo zile zinamudu 120km/h bila shida yoyote alafu hata abiria hawashuki Ila kwa mchina akifika 100km/h unaona Kama bus unataka kupaa.

Somo zuri kutoka kwa KATARAMA wekeza vizuri ili iwe mshindani mzuri zile chuma zinapiga Nenda🔁Geuka lakin bado hazishikiki. Mfanyie hvyo mchina Kama pale shelui hajakugomea kupanda

Basi haziruhusiwi kutembea zaidi ya 80km/h.

Ni Katarama au awaye yote kakiri mwenyewe kutembea 90km/h au zaidi?

Mnapima vipi kasi za mabasi haya mkiwa chini?

Acheni upotoshaji usiokuwa na baraka na wenye biashara hizo.
 
Back
Top Bottom