Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Sipendi miliki vitu vingi vya ovyo au popularJana kelele zilikuwa nyingi Sana hasa twitter nahisi latra wameona Aibu ndiyo maana chuma bado zipo barabarani alafu kumbuka katarama ni tajiri wa malori na vituo vya mafuta kwahiyo figisu za kishamba anaziweza..
Leo zipo road kama kawaida kama halijatokea kitu, na kama hii kampuni ikileta bus zingine mbili Hali itakuwa mbaya Kwa upande wa bus za ally's
Nakubali sauli, katarama
Sauli akiongeza gari tatu tu au katarama aongeze mbili hali itakuwa mbaya Sana kwao
Ubaya chuma Ni za Bei ghali huwezi zitoa Leo kesho hazitoki pesa itachelewa Rudi
Au na yeye anunua golden dragon kama za Ally's