Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nani kasema hayo?Basi haziruhusiwi kutembea zaidi ya 80km/h.
Ni Katarama au awaye yote kakiri mwenyewe kutembea 90km/h au zaidi?
Mnapima vipi kasi za mabasi haya mkiwa chini?
Acheni upotoshaji usiokuwa na baraka na wenye biashara hizo.
Mie nimesema Basi scania likiwa kwenye spidi 120km/h haujisikii Kama Basi lipo mwendo lakin ukiwa kwenye Basi za mchina Asian star, Golden dragon, au yutong zikiwa na 100km/h unahisi Basi linapepea au linataka kupaa hayo ya katarama sijui na hao wengine unawaleta wewe.
Naleo chuma zipo road