Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nani kasema hayo?Basi haziruhusiwi kutembea zaidi ya 80km/h.
Ni Katarama au awaye yote kakiri mwenyewe kutembea 90km/h au zaidi?
Mnapima vipi kasi za mabasi haya mkiwa chini?
Acheni upotoshaji usiokuwa na baraka na wenye biashara hizo.
Nani kasema hayo?
Mie nimesema Basi scania likiwa kwenye spidi 120km/h haujisikii Kama Basi lipo mwendo lakin ukiwa kwenye Basi za mchina Asian star, Golden dragon, au yutong zikiwa na 100km/h unahisi Basi linapepea au linataka kupaa hayo ya katarama sijui na hao wengine unawaleta wewe.
Naleo chuma zipo road
Jaribu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania uone mabasi na uone hyo 120km/h namaanisha nini.Sasa haya ya 100km/h au 120km/h mnayapata wapi wakati hakuna moja linathubutu kufika 90km/-?
Mwongozo wako tafadhali.
Zaidi sana, kama chuma ziko barabarani basi mwenye makomeo yake atakuwa kagwaya kusikia uwezakano wa kuburuzwa kwa Pilato asubuhi asubuhi.
Jaribu kutoka nje ya mipaka ya Tanzania uone mabasi na uone hyo 120km/h namaanisha nini.
Siku moja nenda hata Kenya tuu panda Basi kutoka Mombasa to Nairobi au Nairobi to nakuru uone chuma xinavyomwaga Moto na huko chuma zinatembea usiku
Wamemfanyia uhuni , akaze tuu duniani hapa bila kukaza tako kuna wahuni wengi SanaHuyu jamaa kawashika pabaya Ally's na Happy Nation,Lazma wamchafulie ili wabaki wao. Make mwamba ana Scania tupu halafu bomba kinyama.Ni kampuni mpya Haina mda mrefu.
Mbuzi Wa 40Mbuzi wa Kafara !!
Fitna ZipoWamemfanyia uhuni , akaze tuu duniani hapa bila kukaza tako kuna wahuni wengi Sana
.....In the same basket !!!Mbuzi Wa 40
Umenikumbusha lile polo la sauli lilishawahi pigwa mawe kule mbeya kisa tu la masaa ya mbeleKatarama ataanza tafutiwa ajali au kupondwa mawe wasingizie sababu ya mwendo.
80 kph to mwanza utafika keshoooooooBasi haziruhusiwi kutembea zaidi ya 80km/h.
Ni Katarama au awaye yote kakiri mwenyewe kutembea 90km/h au zaidi?
Mnapima vipi kasi za mabasi haya mkiwa chini?
Acheni upotoshaji usiokuwa na baraka na wenye biashara hizo.
Nishapanda bus limetoka mwanza huwa linasifika Sana ..njiani nilikuwa na monitor speed Kuna app ilikuwa inachora graph flani hivi ..hivo unaona top speed Ni ngap , average speed Ni ngap pia lowest speed80 kph to mwanza utafika keshooooooo
Hii 80 inawafaa watu wa arusha tu hapo
Hiyo bus ya Katarama sio bidhaa ya Mchina ? Au ni Japan ?Kutoka mwanza Leo Ally's anaitafuta kwa tabu sana katarama bila mafanikio.
Kutoka Dar Ally's katoka Zaid ya 40minutes mbele ya katarama Sasa Ila kwa habari zisizo rasmi pale msamvu shughuli ilikuwa ishaisha.
Scania Kama za katarama au superfeo zile zinamudu 120km/h bila shida yoyote alafu hata abiria hawashuki Ila kwa mchina akifika 100km/h unaona Kama bus unataka kupaa.
Somo zuri kutoka kwa KATARAMA wekeza vizuri ili iwe mshindani mzuri zile chuma zinapiga Nenda🔁Geuka lakin bado hazishikiki. Mfanyie hvyo mchina Kama pale shelui hajakugomea kupanda
Ni marcopolo wana assemble china,south africa..originally ni brasil kama higer,zhongtong,golden dragon kwa china.Hiyo bus ya Katarama sio bidhaa ya Mchina ? Au ni Japan ?