Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
tatizo LATRA wanaishi mjini! hawajui shida za mikoani na njiani hukoHilo zoezi litasitishwa...
Ukiniuliza kwanini, jibu ni kwamba hatujawahi kuwa serious...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo LATRA wanaishi mjini! hawajui shida za mikoani na njiani hukoHilo zoezi litasitishwa...
Ukiniuliza kwanini, jibu ni kwamba hatujawahi kuwa serious...
tatizo LATRA wanaishi mjini! hawajui shida za mikoani na njiani huko
Kinachotakiwa ni kudhibiti mapato,safi Sana.LATRA imepiga marufuku matumizi ya tiketi za kuandikwa kwa mkono kuanzia 01/09/2022
Mabasi yote ya mikoani ni lazima watoe tiketi Mtandao vinginevyo watapigwa faini ya tsh 250,000
Source ITV
Tujue faida na hasara ya ticket mtandao, kwa Mimi huwa nazama Magufuli Terminal nakutana na mkatisha ticket tuna bargain, kama nauli ni 30,000/ Mimi nakomaa na mkatisha ticket mpaka 20,000/ nalipa nasafiri, sasa ticket mtandao kuna ku bargain tena? Hapo tutakomaa na ticket za karatasi tu.Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria...
Popote ulipo, njoo usome maoni yako tena.Acha upumbavu lazima tuende na tenkolojia kurahisisha maisha.
Bank zilivyohama kutoka kwenye mafaili na kugonga vitabu kwenda kwenye kompyuta wale wafanyakazi walienda wapi?
Nani anatamani kughasiwa na wapiga debe na vibaka stand? Mara siti imeuzwa mara 3
Huo mfumo nimeutumia zaidi ya mwaka ni mzuri mno, unachagua siti uitakayo na Tarehe ya kusafiri ukiwa popote na unalipia hakuna kuuzwa mara mbili