KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9
Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
 
Naona watu wengi wanasafiri sasa hivi.
 
Izo ndio bei zisizo rasmi za mwezi December ata baada ya tarehe 9 nauli zitakua ivyo mpaka baada ya mwaka mpya.
Ni wageni tu au wale wasio fatilia ndio wata shangaa.
 
Acheni watu watumie fursa! Hii ni ya muda mfupi!
 
kinaenda kuwaka vibaya mno. Tubanane humu mjini, mnakimbilia wapi?
 
Hasa hawa watu wa Tanga hawa, wanaafki sana hawa. Waongeze nauli iwe laki 6
 
LATRA wanasubiri mgao wao toka wenye mabasi. Fikiria wenye mabasi wamefunga mifumo yao ya kuuza tiketi online, LATRA wapo kimya tu
 
Back
Top Bottom