Hapo bado kesho maana kitawaka usiku huu. Nendeni mkakae na wabunge haramu huko central maana huku mtaani ndio mwisho wao na nyie madiwàni tu nyumbani badala kuhamia central mtaona mziki Wake haramu wakubwa nyie
Izo ndio bei zisizo rasmi za mwezi December ata baada ya tarehe 9 nauli zitakua ivyo mpaka baada ya mwaka mpya.
Ni wageni tu au wale wasio fatilia ndio wata shangaa.