Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali.
KERO:
1. MASAKI-SIMU 2000
Haya ndio magari mabovu kuliko daladala zozote Dar es salaam . Hizi Daladala zote ni Nissan Civilian za kabla ya mwaka 2000. Zote namba "A" na za ndani kabisa zinasema nyingi zinamilikiwa na wale "mabwana " pale karibu na ubalozi wa Marekani.
Nusu ya hizo Gari zinashinda Garage, iwe asubuhi iwe jioni, LATRA piteni Sinza kijiweni mpaka Kituo cha Kanisani , mtaona si chini ya gari 20 zimekufa , zzipo garage na zina miaka mingi hapo .
Hizo Gari zinaongoza kwa kukatisha ruti , hazifiki mawasiliano, na masaki mwisho hazifiki.
2. MEZI-MAKUMBUSHO
Hizi zinapita mwannyamala-studio na magombeni, jioni zinageuzia pale studio na wanapandisha nauli, kuanzia saa 10 jioni nauli inapandishwa na wanakwambaia kama hutaki nunua loko maana swrikali imetupandishia .
3. GARI ZA SHULE
Baada ya ajali ya ST. Vincent Arusha na watoto wengi kufariki, Mwongozo ulitoka kutaka gari zote za Shule zipigwe rangi ya njano.
Hii Sheria ni ya shule binafsi, ila za SErikali hawahusiki.
Shule ya Olympio , Bunge na Upnanga, kwa asubuhi utakuta zaidi ya gari 10 za Buza Gerezani zinabeba wanafunzi, na jioni zinawarudisha.
Bunge primary nao wanatumia gari ningi na shule nyingine nyingi, matokeo yake ni kwamba daladala zinaonekana kwenye mtandao wa LATRA ni nyingi lakini peak time yaani asubuhhi na jioni zinabeba wanafunzi; Sasa je , Zina vibali na zinalipa kodi ya kubeba wanafunzi na abiria?
4. MORROCO-BUNJU.
Abiria wabinafsi, wanasimama morroco upande wa kwenda magomeni, wanapanda gari eti kuzunguka nalo, wanalipa nauli mara mbili na gari inajaa- ikizunguka haibebi mtu, hivyo kwa kifupi wanapiga nauli mara mbili kwa ruti moja, LATRA mpo wapi kumchafulia MD DKT Samia? , Simamieni hapo gari zikashushe kituo cha moroco na siyo hapo wanaposhushhia!!!!
NB: Makondakta wote na madereva , ukiwaambia kitu wnasema ilaumuni serikali, serikali wanajua kabisa ni rais, lakini kwa ufahamu wa kawaida mgh Dkt Samia hawezi kuwa kila mahali ndio sababu anateua wasaidizi na wnakula kiapo, mishahara minono na ulizni, hapa kateua LATRA isimame kwa niaba yake, LATRA inajiamulia kulala.
USHAURI WA MWISHO KWA LATRA :
Toeni ajora hata ya muda tu, vituo vya daladala askari polisi, mgambo na kijana wa ofisi yenu ajira ya muda, mtapata magari yote yanayokatisha ruti, yanayopandisha nauli na vijana wapite garage za Tandale muone gari zilizolala na zimekufa ila ninyi mna amini kuna daladala nyingi huko Masaki.
Wafanye tafiti kujua gari zilizokufa, ilizohama route na sasa mtangaze magari mengine kuinia njiani.
LATRA MKIKATAA USHAURI, TUTAANDIKIA CCM BARUA WAMASHAURI DKT SAMIA AFANYE UTENGUZI.
Kama latra mtaendelea kuuzia hili jambo , na hatuna pa kupeleka kero, basi Lumumba si mbali , Katibu mkuu wa hama ataandiukiwa Barua atueleze kama ilani inasema kutesa wananchi, huko itafika tu.
Soma pia LATRA yalaumiwa na wanyonge wa Mbagala