Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, hapo wananchi hawana kimbilio.Mim nimempa jibu kutokana na swali lake.
Hivyo basi kutokana na jibu langu nadhani utakuwa ushajenga hoja ya kwamba kuna uibaji .Huu wizi wa wazi wa hawa wanaomiliki usafiri wa umma ndo utibiwe.