LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

Mim nimempa jibu kutokana na swali lake.
Hivyo basi kutokana na jibu langu nadhani utakuwa ushajenga hoja ya kwamba kuna uibaji .Huu wizi wa wazi wa hawa wanaomiliki usafiri wa umma ndo utibiwe.
Yes, hapo wananchi hawana kimbilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…