Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Toa mfano kwa kila mojanjia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa mfano kwa kila mojanjia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route)
Binafsi naenjoy Daladala mnoooo.... Sijui kwanin watu hawazipendi.Hapa dar unaweza kutumia pesa kibao kwa nauli haswa ukipata mtoko ule unachukua bolt hutaki disturbance.
Nasikia kuna wawekezaji waarabu watapewa huo mradi wa mwendokasi
Nani kasema kuna ubaya?kwani kuna ubaya gani?
Mwendo kasi ipo daaaaaar, ikapangiwe nauli dodomaaaaa, kweli wataona kero zetu huko dodoma?Akitangaza nauli hizo leo jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa Latra Habibu Suluo amesema nauli hizo zimeongezeka kwa Sh100 kutoka nauli za zamani.
Njia za mlisho ni zile za pembeni ziingiazo barabara kuu labdaaliyeelewa hizo njia za mlisho na truck sijui anifahamishe kidogo
Ila unajua watu walivyo vigeugeu????Uber na taxify ( Bolt) bei zao zimepanda kiasi cha kutisha,
Bila shaka mauzo yao yatapungua maradufu Kwani watu wengi hawatumii tena wamerudi kutumia usafiri wa daladala.
Na kodi wanayolipa itapungua mwisho looser atajulikana ni nani.

Latra Yapandisha Nauli Za Mabasi Ya Mwendokasi, Teksi Na Pikipiki Za Mtandaoni
Kuanzia Januari 16, 2023 Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi itakuwa Tsh. 750 kutoka 650, njia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route) Tsh. 900 njia ya Kimara – Kibaha ni Tsh. 700 badala ya pendekezo la DART la Tsh. 1,200
Teksi Mtandao za abiria 4 Tsh. 3,000 – 4,000, Magari ya abiria 6 itakuwa Tsh. 4,000 – 5,000 ndani ya Kilomita 1, na safari ikizidi itaongezeka kwa Tsh. 800 hadi 1200 kwa kilomita 1. Ikiwa kutakuwa na vikwazo kama foleni nauli itaongezeka kwa Tsh. 80 hadi Tsh. 150 kwa kila dakika
Pikipiki za abiria 2 nauli itakuwa Tsh. 1,000 – 1,500, Pipipiki za abiria wasiozidi 3 itakuwa Tsh. 2000 – 2500 ndani ya Kilomita 1, na safari ikizidi itaongezeka kwa Tsh. 300 – 600 kwa kila kilomita moja na kama kutakuwa na vikwazo kama foleni nauli itaongezeka kati ya Tsh. 50 hadi 90 kwa kila dakika.