LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.

Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni ya mabasi ya KATARAMA Luxury kutokana na kuchezea kifaa cha kufuatilia mwenendo wa magari (VTD)
1000021322.jpg
Kufuatia kikao hicho, Mamlaka imetoa onyo kali ya wiki moja kwa ABOOD Bus Service, BM Coach na SUPER FEO kwa kosa la kuchezea mfumo wa mwenendo wa magari (VTS) na kukiuka masharti ya leseni walizopewa na kuwataka wasafirishaji wote nchini kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zilizowekwa.

Kikao hicho kimefanyika Ofisi ya LATRA Dar es Salaam, Septemba 12, 2024 na kuhudhuriwa wadau mbalimbali wakiwemo Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA), Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, pamoja na Wamiliki na Wawakilishi wa Makampuni hayo.
 
View attachment 3094700

Hapana hapa kuna wivu na visa na sio bure , hii nchi ndiyo maana hatupati wawekezaji wapya na waliopo wanahama ,viongozi wanamambo ya kipuuzi sana sana,

Kuna kampuni kila siku zinasababisha ajali kizembe na hazifungiwi wana msakama tu muwekezaji , nantangu kaanza usafirishaji hajawahi kupata ajali hata mara moja ila kuna kampuni zina sababisha ajali kila mara, viongozi wa latra kuweni waadilifu
 
Ila hata hivyo hii hoja bado haitoshi kutuhamisha kwenye mjadala wa utekaji na mauaji
Hapana hapa kuna wivu na visa na sio bure , hii nchi ndiyo maana hatupati wawekezaji wapya na waliopo wanahama ,viongozi wanamambo ya kipuuzi sana sana,

Kuna kampuni kila siku zinasababisha ajali kizembe na hazifungiwi wana msakama tu muwekezaji , nantangu kaanza usafirishaji hajawahi kupata ajali hata mara moja ila kuna kampuni zina sababisha ajali kila mara, viongozi wa latra kuweni waadilifu
 
Kuna vitu vinavifikirisha sana wakuu inawezekanaje katarama inaingia mwanza alafu iinafata ally badae isamilo nayo inafika muda si mrefu! Vp kuhusu vithibiti mwendo awe amechezea katarama peke yake wakati kampuni kama ally's na nyinginezo zinamwaga moto vibaya mno barabarani inamana latra wanashindwa kuona yote hayo au kuna conflict of interest hapo kiukweli nina maswali mengi sana lakini yanakosa majibu
 
Hapo ni visa tuu na roho mbaya za rushwa kwa hawa viongozi wenye madaraka si bure maana makosa hayo mbona ni ya mabasi yote, hapo wanataka kumkomoa kupitia viongozi wa hovyo wa serikali
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.

Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni ya mabasi ya KATARAMA Luxury kutokana na kuchezea kifaa cha kufuatilia mwenendo wa magari (VTD)
Kufuatia kikao hicho, Mamlaka imetoa onyo kali ya wiki moja kwa ABOOD Bus Service, BM Coach na SUPER FEO kwa kosa la kuchezea mfumo wa mwenendo wa magari (VTS) na kukiuka masharti ya leseni walizopewa na kuwataka wasafirishaji wote nchini kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu zilizowekwa.

Kikao hicho kimefanyika Ofisi ya LATRA Dar es Salaam, Septemba 12, 2024 na kuhudhuriwa wadau mbalimbali wakiwemo Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA), Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, pamoja na Wamiliki na Wawakilishi wa Makampuni hayo.
Well ni jambo jema, lakini nina mashaka sana na maamuzi hayo kama hayana vita vya kubiashara,
 
Uenda alishapewa sana onyo mara nyingi kwa kukiuka sheria .
Naona watu wengi mmekua upande wake kwamba kaonewa lakini tambueni madreva wake wanakiuka sana sheria za barabarani tuiachie serikali ifanye kazi yake tusiwe upande wa ushabilki ndugu zetu wengi wamepoteza maisha au kupata ulemavu wa maisha kutokana na na uzembe wa mwenye makampuni ya mabasi kuruhusu madreva wao wavunje sheria.
 
Kuna vitu vinavifikirisha sana wakuu inawezekanaje katarama inaingia mwanza alafu iinafata ally badae isamilo nayo inafika muda si mrefu! Vp kuhusu vithibiti mwendo awe amechezea katarama peke yake wakati kampuni kama ally's na nyinginezo zinamwaga moto vibaya mno barabarani inamana latra wanashindwa kuona yote hayo au kuna conflict of interest hapo kiukweli nina maswali mengi sana lakini yanakosa majibu
Inategemea wanamwaga mafuta sehemu gani pia. Hata gari private nalo ukizitumia vizuri zile free zone utafika mapema na wala hautakutana na tochi.

Unaweza ukakimbizana na bado ukachelewa kufika unapoenda
 
Back
Top Bottom