LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

Ko!!bila shaka serikali ipo sahihi?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona maagizo ni mengi kuliko elimu, elimu itolewe basi mfumo uwe rafiki
Hakuna cha mfumo, unapoenda kukata ticket kwemye ofis za bus unalotaka kupanda ndio wao wanakata kupitia mashine walizonazo, huzo mashine zipo kama za efd
 
Inamaana we ndo kwanza unasikia leo kukatisha tickect kwa njia hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenye mabasi basi waanzishe mgomo nao wa nchi nzima,maana isije kujitokeza yale ya vitambulisho vya nida,.waliweka kikomo kabla watu hawajaelimishwa zaidi.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kawaida watu hawapendi mabadiliko
Mabadiliko yana changamoto zake mzee hususani kama hamjajiandaa, au hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa, imekua ni kama kulazimishana tu kwa kitu ambacho kinahitaji ufahamu pande zote mbili kwa abairia mtumiaji wa hiyo huduma na hata kwa mtoa huduma
 
Daah [emoji23][emoji23][emoji23]

My sister Sasa wenye mabus wagome Vipi wakat wao ndio wanafurahia sana, MAANA hawata toa fedha kwa madalali kila siku

Daaah nisikitie tuu kwa hiki unachokitetea
Kwa hii mada ndio uone watu wengi hawana ubongo, mwingine mara anakuambia sijui simu vijijini hakuna mtandao. Mwingine sijui sio wote wenye smartphone.
Hawaelewi hata huo mfumo ni kama ule wa efd.
Kuna mabus wanatumia huu mfumo muda mrefu sana
 
Maeneo mengi MTANDAO Ni shida, Sasa sijui mteja analipaje iyo tiketi
Miaka 2 iliyopita wamiliki wa mabasi walikutana kujadili suala hili. Kwenye kile kikao bwana Joseph Kasheku "King Msukuma" naye alikuwapo kama mmliki wa mabasi.

Siku hiyo aliongea hoja yake ni Kwa mabasi yanayofanya safari za vijijini ambapo mtandao ni shida itakuwaje, kama tiketi zikigoma kutoka Kwa hiyo na Basi lisiondoke kufanya safari. Akajibiwa mtandao utaboreshwa sehemu zote.
 
Mabadiliko yana changamoto zake mzee hususani kama hamjajiandaa, au hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa, imekua ni kama kulazimishana tu kwa kitu ambacho kinahitaji ufahamu pande zote mbili kwa abairia mtumiaji wa hiyo huduma na hata kwa mtoa huduma
Wakati Uber inakuja bongo ni Elimu gani ya Kutosha tulipewa hasa sisi abiria?or wakati Mpesa inaingia kwenye market ni Elimu gani ilitolewa?issue inapokuaga ni ya serikali ndo hua tunalilia Elimu ya kutosha..Elimu ipi sasa tunataka itolewe?Mbona ukienda supermarket ukalipa ukapewa risiti hua hatuombi Elimu ya ile system ya kutoa risiti?Heb tuwe sereous aisee
 
Nakwenda ARK tokea Mlandizi....vipi kuhusu hiyo tiketi ya mtandao
Bus limeharibika njiani tunahitaji refund tuendelee na safari itakuwaje wakati pesa yoote iko kwa mtandao
Kwani hata sasa mabasi ya mikoani wanasafiri na nauli waliyo toza abiria?
Gari ikiharibika wanafanyeje?
Haya mengine yote ni hofu isiyo ya lazima.

Tatizo ni watu wengi kupotezea ajira kama huu mfumo ukiwa fully automated.

Faida kuu ni kuondoa bei za wizi wanazo tozwa abiria na madalali wa bus stands.
 
Kwahiyo mtanzania lazima awe na smartphone na lazima awe na bando. Ukiwa huna hivyo vifaa HAKUNA kusafiri!
 
Nguvu Ya Mamba Mumaji, Kumuchanga Unaburuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…