🤣😂😅 Kajichukulie mrembo huko LatviaNgoja waja waseme, Mashoga ndo wamesababisha hali hiyo.
Fursa hiyo ni yako, yaan ushindwee wee tyuuh.🤣😂😅 Kajichukulie mrembo huko Latvia
Acha kuchukua nafasi za wanawake Kwa kutaka kulomba
Manyoooooko
Nguvu ninazoFursa hiyo ni yako, yaan ushindwee wee tyuuh.
Au nguvu na uwezo huna? Straight uchwaraaaaaa.
😂😂😂😂😂😂😂
Teeth wapo kazini kuPUSh mada pendwa ili Gen Z wasijadili maandamano.Mbona idadi sio kubwa sana?
Sasa huo wingi wa wanawake uko wapi?Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovyeti.
Kwa miaka mingi, trendi hizi zimechangia kupungua kwa idadi ya wanaume, jambo linaloathiri muhusiano, ajira, na mipango ya kiuchumi ya taifa.
Kwa mujibu wa takwimu rasmi za mwaka 2025 kutoka kwa kitengo cha takwimu za taifa, wanawake wanaunda takriban 53.7% ya idadi yote ya watu nchini Latvia. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, kuna 116 wanawake kwa kila 100 wanaume katika nchi hiyo.
Wanawake wengi kuliko wanaume pia huathiri tamaduni za uhusiano, utulivu wa ajira, na mipango ya muda mrefu ya kiuchumi. Serikali sasa inakabiliana na changamoto ya kupungua kwa nguvu kazi na pengo la kijinsia ambalo linaonekana halitarekebishwa kwa muda mfupi.
Na ni warembo kwelAir Tanzania ianzishe safari za Moja Kwa Moja hadi Latvia tukajichukulie warembo
Tupia picha za warembo wa Latvia tuwatathmini. Weka na muongozo wa viza za hukoLatvia yakabiliwa na uhaba wa wananume, Wanawake Wazidi Wanaume zaidi ya 80,000
Nime pata dem wa kiarabu, sasa namuachaje kwa deal isiyi eleweka😂😁Poor Brain twenzetu huko mkuu, jobless Intelligent businessman huko kuna kazi ya kuchakata mbususu daily bila shaka serikali yao itatuajiri kwa shughuli hiyo, twenzetu mwanangu
Wasiwe vijana sasa waww wamama wamama mkuu hapo ndo kidogo afadhaliPoor Brain twenzetu huko mkuu, jobless Intelligent businessman huko kuna kazi ya kuchakata mbususu daily bila shaka serikali yao itatuajiri kwa shughuli hiyo, twenzetu mwanangu